Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna timu ninayoichukia hapa duniani kama Manchester na Barcelona...bora uniuwe kuliko kunilazimisha kupenda timumshikachuma
Kwanini unawachukia hivyo Chelsea? au ni sababu unatetea maslahi yenu{Kumaliza namba 3} ili kucheza Champions League?
Kweli zinaweza kuwa goli sita { ila inaweza isiwe liverpool wamekosa penalty}
Goooooooool.....la 4....piga mbwa hao
SkypeLiverpool chapa hao mbwa bao 5 kwa nunge kama simba na yanga juzi
Mkuu,Man U na Barca wanawaonea sana Arsenal...kibaya zaidi hata marefarii huwa wanakuwa upande wa timu hizi 2.Dah mshikachuma
Hao Barcelona na Manchester{ ninahisi watakuwa Man Utd} wamekukosea nini mpaka uwe tayari kufa kuliko kuwashabikia?
Siku ikitokea Chelsea wakainyanyasa sana Manchester, wakija kurudiana utawa support Manchester, kama unavyowa support Liverpool leo?
Skype
wewe naona utakosea utabili wako {umesema 5 kwa nunge} chelsea wamefunga moja tayari
Ningekuwa ni gambler ningemsikiliza mshikachuma maana yeye utabili wake unaweza kuwa kweli
Mkuu,Man U na Barca wanawaonea sana Arsenal...kibaya zaidi hata marefarii huwa wanakuwa upande wa timu hizi 2.
Sikatai ni kweli Man U na Barca ni timu bora sana duniani...lakini nao wanabebwa sana hadi inatia hasira
Mkuu hizo goli hazirudi ng'o!!!? sana sana zitaongezeka na wao Chelsea watabaki na hako kagoli kamoja au wataMkuu,
Sasa hapo nimeelewa sababu yako ya kuzichukia timu hizo
Back To The Topic...... leo unaonaje Chelsea wanaweza kurudisha magoli hayo?
Liver wanafanya double change....max for kuyt.... na Downing fo Sterling....goooo laa laa laaa sterling anakosa bao hapa
Hako kanaitwa ka sterlingKuna haka kajamaa kafupi ka liva kameingia hapa.
Hako kanaitwa ka sterling