Baada ya jana na juzi kushuhudia timu za wauza sura wa England zikipata mikong'oto na nyingine iliyozoea kubebwa na marefa ikiponea puchupuchu...... Leo Majogoo pekee, wababe wa ukweli pale England, watashuka kwenye uwanja wao wa Anfield kuwashikisha adabu wababe wa milima ya Caucasus huko Dagestan kusini mwa Russia, wanaokwenda kwa jina la Makhachkala! Hawa jamaa kwa sasa ndiyo wanaongoza League kuu ya Russia, kwa hiyo tutegemee mechi ngumu na ya ushindani mkubwa...Kila la heri Liverpool wote, YNWA.