Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Halftime, tunaongoza 1 - 0, bao lilifungwa na Jonjo Shelvey kwa kichwa ktk dakika ya 23.
 
Kwenye issue ya ku possess mpira kocha kafanikiwa sana, sasa hivi tunaweza kupiga pasi za kutosha.
Ni kweli mkuu, pia vijana wanajiamini sana, huyu Allen ametulia sana na Assaidi ni balaa kule pembeni kushoto. Pazi yuko wapi?! Leo rafiki yake katoa cross safi ya goli!!!
 
wameikimbia thread yao...
Hakuna +255 wala Pazi...
Mlianza kuielezea mechi vizuuri sana then kufika katikati woote mmeingia chini ya meza mshumaa hauwaki.
 
wameikimbia thread yao...
Hakuna +255 wala Pazi...
Mlianza kuielezea mechi vizuuri sana then kufika katikati woote mmeingia chini ya meza mshumaa hauwaki.

:biggrin1::biggrin1: kumbe eeh... hivi hili kombe liverpool wanalocheza la alhamisi linaitwaje..ni mbuzi cup nini?
 
Hehehe hatujakimbia tulikuwa tunatizama Game bwana Hilo Mbuzi Cup sijui kama Mshawahi kulishinda?.
 
Halafu hao wanga wawili sijui kama hata waliangalia hiyo mechi! Hebu muulize huyo mtoto wa swekeni nini kilisababisha asicomment hapa kwa siku kadhaa zilizopita?!?!
 
:biggrin1: samahani bt hua tunaangalia makombe ya wanaume wa europe sio mbuzi cup, jana si mmecheza na stoke mbona hamjaja kutoa comments.... Poleni sana na maumivu ambayo mnayaonaga kila wiki
 
[h=1]Liverpool striker Luis Suárez take note: Manchester City's Sergio Agüero has proved that honesty does pay[/h] [h=2]The allegations of cheating bedevilling the Premier League obscure the reality that the most memorable moment in the competition's 20-year history was defined by honesty.[/h]
SL-suarez0_1_2363522b.jpg
Fall guy: Luis Suárez goes to ground after being caught by the Manchester United defender Jonny Evans at Anfield last


:biggrin1: aisee huyu suarez sijui kwanini hakushiriki kwenye olympics mashindano ya kuogelea na ku dive maana angeshinda gold medal
 
article-2220132-15987490000005DC-613_634x422.jpg


Naona mambo yenu siyo mabaya na huyu Sterling .. ... ..
 
Baada ya jana na juzi kushuhudia timu za wauza sura wa England zikipata mikong'oto na nyingine iliyozoea kubebwa na marefa ikiponea puchupuchu...... Leo Majogoo pekee, wababe wa ukweli pale England, watashuka kwenye uwanja wao wa Anfield kuwashikisha adabu wababe wa milima ya Caucasus huko Dagestan kusini mwa Russia, wanaokwenda kwa jina la Makhachkala! Hawa jamaa kwa sasa ndiyo wanaongoza League kuu ya Russia, kwa hiyo tutegemee mechi ngumu na ya ushindani mkubwa...Kila la heri Liverpool wote, YNWA.
 
Sikufanìkiwa kurudi hapa jana, lakini tulishinda 1-0, bao lilifungwa na Downing. Madogo Wisdom na Raheem Sterling walionyesha uwezo mzuri sana. YNWA.
 
Sikufan¨¬kiwa kurudi hapa jana, lakini tulishinda 1-0, bao lilifungwa na Downing. Madogo Wisdom na Raheem Sterling walionyesha uwezo mzuri sana. YNWA.

Umemsahau Assaid na ndiye alikuwa Man of the match.. Tusubiri game ya kesho ya Merseyside derby
 
The Merseyside Derby everton vs liverpool......come on you blueeeesss!! :happy:
 
haya haya haya hayaaaaaaaaaaaaa tayali wazee wazima liverpool washakinukisha mapemaaa?? Hapa ni mwendo mdundo
 
suarezzzz kawadunga cha pili yaani leo ni bandika bandua .
 
Back
Top Bottom