punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Halftime, tunaongoza 1 - 0, bao lilifungwa na Jonjo Shelvey kwa kichwa ktk dakika ya 23.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu, pia vijana wanajiamini sana, huyu Allen ametulia sana na Assaidi ni balaa kule pembeni kushoto. Pazi yuko wapi?! Leo rafiki yake katoa cross safi ya goli!!!Kwenye issue ya ku possess mpira kocha kafanikiwa sana, sasa hivi tunaweza kupiga pasi za kutosha.
wameikimbia thread yao...
Hakuna +255 wala Pazi...
Mlianza kuielezea mechi vizuuri sana then kufika katikati woote mmeingia chini ya meza mshumaa hauwaki.
Sikufan¨¬kiwa kurudi hapa jana, lakini tulishinda 1-0, bao lilifungwa na Downing. Madogo Wisdom na Raheem Sterling walionyesha uwezo mzuri sana. YNWA.