Nafikiri Benitez alimpiga benchi Skirtel sababu alichemsha ile game ya Chelsea ,sasa kazi anayo nimesikia Babel na Agger wanaondoka wamechoka kukaa benchi
...duh, hii thread inaanza tena kusinzia, MTM vipi bro...au wimbi la Tsunami ya Champions League na wewe limekupitia?
Nanyi leo mnakibarua cha maana, Newcastle lazima ishinde ili isishuke daraja, wakati huo huo Man U nao wakiteleza kule kileleni nanyi mnawapumulia tena kisogoni! mkiteleza Chelsea haooo nyuma yenu...what a decider! 🙂
YNWA
WAZEE NAONA THE KOPS WAKO MAZOEZINI ANFIELD-- SHEARER IS ALL BUT DONE AND DUSTED
2-0 --kUYT AND yOSSI
YNWA
- Wakuu vipi leo tunashinda au?
FMEs!
aisee, marefa wa siku hizo ovyo kabisa. Alan Wiley ameamua kuwabeba Liverpool kwa mbeleko zote. duh! hii kali...
aisee, marefa wa siku hizo ovyo kabisa. Alan Wiley ameamua kuwabeba Liverpool kwa mbeleko zote. duh! hii kali...
Hii kali, tuliangalia mpira uleule wa West Ham na Liverpool au we uliangalia recorded tusiyoijua?
Sikuona kubebwa kwa aina yoyote kati ya Liver na the hammers!!
Liverpool for the last 6 games wamekuwa kwenye shooting practice tu hakuna timu ya kutusimamisha; na kama ingekuwa ni ligi yangu, ningepanga mechi zote zilizobaki tupige na Manure mpaka watage mayai uwanjani-- Ni kupiga tu four, four, four, for......
lol...makubwa haya..Sasa mboni hamkuanza hizo 4 X 4 toka mwanzo mwa ligi ?
Lengo lenu msimu huu ilikuwa ni kuifunga MANU na mmefanikiwa kwani tangu Benitez aje alikuwa hajawahi kuifunga MAN
Last time Liverpool imechukua ubingwa nilikuwa na miaka 5 nakwenda wa 6 hehehee!!! Juzi Gerrard anasema kuwa Liverpool watachukua ubingwa ndani ya miaka mitano ijayo, ina maana season hii ameshakata tamaa?