Hongereni wakuu kwa kuwabangua Manure naona ushoga unawachumbua. Chacha tuuzieni Sure Boy si mnae Sturturidge?
Hat-trick: Liverpool recorded their third straight league win
after beating Manchester United 1-0 at Anfield
Hii sio timu ya top 4. Tunahitaji 2-3 more quality signings
Kilaza huyu ndie anayetuharibia kila siku
Mwelekeo utaonekana kuanzia Novemba. Uzuri Mpaka Novemba ndo tutaanza kukutana na vigogo kama Arsenal, Spurs na Desemba Chelsea na Man City....Tukikomaa na maechi 6 mfululizo tutakuwa vizuriWakubwa mpo?! Tunahitaji angalau mechi kumi ndo tutajua mwelekeo wa chama letu...YNWA.
Timu zote England zinaona fahari mno zikiifunga Liver ndo maana huwa vinakomaa mno...
Mwelekeo utaonekana kuanzia Novemba. Uzuri Mpaka Novemba ndo tutaanza kukutana na vigogo kama Arsenal, Spurs na Desemba Chelsea na Man City....Tukikomaa na maechi 6 mfululizo tutakuwa vizuri