Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hongereni wakuu kwa kuwabangua Manure naona ushoga unawachumbua. Chacha tuuzieni Sure Boy si mnae Sturturidge?

article-2407099-1B90C6CA000005DC-150_634x474.jpg

Hat-trick: Liverpool recorded their third straight league win
after beating Manchester United 1-0 at Anfield

Wenger amesajili Flamini na yuko mbioni kumleta Solomon Kalou wanawatosha hao
 
Chama la kiumeni jogoo jogoo tu may tunabeba jagi kiwepesii
 
... Je wajua, Timu ya Wanawake ya Liver inaongoza Super League kwa pointi 5 na juzi kati imembanjua mtu goli 9-0? Mwaka wetu huu! Vigumu kupata ubingwa, lakini tutawakimbiza kwa sana tu!
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...............................................................................yaani siku hiyo Valeur kidogo iue mtu................Man Utd Chaliiiiiiii
 
Mi natamani kuona L'pool FC wakinyakua lile ndoo msimu huu maana kila sababu ya kutenda hivyo tunayo fluuuuuu!

Copy kwa AK 47 KIBANGA Ampiga Mkoloni & Kaizer.
 
Last edited by a moderator:
Wakubwa mpo?! Tunahitaji angalau mechi kumi ndo tutajua mwelekeo wa chama letu...YNWA.
 
Wakubwa mpo?! Tunahitaji angalau mechi kumi ndo tutajua mwelekeo wa chama letu...YNWA.
Mwelekeo utaonekana kuanzia Novemba. Uzuri Mpaka Novemba ndo tutaanza kukutana na vigogo kama Arsenal, Spurs na Desemba Chelsea na Man City....Tukikomaa na maechi 6 mfululizo tutakuwa vizuri
 
Tatizo ni kuwa vile vitimu vigeni vinakomaa kichizi.. bila kukaza msuli huvifungi kirahisi! Na pia vijana wetu wanatakiwa waanze kufunga magoli mengi ili kuipunguzia presha defence.
 
Timu zote England zinaona fahari mno zikiifunga Liver ndo maana huwa vinakomaa mno...
 
Mwelekeo utaonekana kuanzia Novemba. Uzuri Mpaka Novemba ndo tutaanza kukutana na vigogo kama Arsenal, Spurs na Desemba Chelsea na Man City....Tukikomaa na maechi 6 mfululizo tutakuwa vizuri

Mkuu Mbata karibu...bado kidogo game ianze tuongeze point tatu muhimu turudi kileleni.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom