Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hawa Southampton wanacheza kama WaPo kwao vile,leo jogoo kawa jike
 
Leo zamu yetu hakika. Tunapigwa mbele ya wake zetu. SG kachoka kisawasawa.
 
Thats how it is, ni Everton pekee waliobaki hawajafungwa so far
 
Tushapowa ila kuna mijitu Humu tulivyowapiga bao na mnajijuwa hatukuwaona na tuliwaambia leteni picha mlijifungia Kama mwali wa kizaramo heheheh Leo mbio Kama demu Wenye mimba inayomsumbua kwa udongo na maembe Mabichi Mie namkubali Belo,Nzi na Viper Hawana unazi tena bora hata mchizi wacha , ndio football ila Rogers kachemsha kupanga timu sitaki kumuona tena Hendo bora Luis Alberto kati. Sio game ya kufungwa Kabisa. Nyuma napakubali tatizo katikati ya uwanja.
 
Pole sana mkuu wangu....
 
Noma sana, siamini kuwa tunamtegemea kiasi hiki Coutinho!
 
Oops, Liverpool. You just walk alone today.

This was not Manu of 2013. Stand up and dust yourself off and try again on 29th Sept at the Stadium of Light.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…