Huyu Howard Webb siipendi hata kumuona kati lfc kumepwaya hatuna playmaker hii game draw au Sunderland hawachelewi kuondoka na 1-0 I hope lfc watashindana game.
sky kila kibaya cha LFC wa naona dive,mikono,mpira umetoka ila wengine Hawaoni si waseme tu Kama wanaipenda man utd na hili nimeona wanawafanyia hata arsenal.
Haya wa nasema Toure anavuta hapo hapo Oshea anavuta hawasemi haya semeni na goli la Suarez offside mmeleta refa Howard Webb na watangazaji minazi magoli wamefunga SAS LFC 2-0 sturidge na suarez.
SAS hao bwana 3-1 watangazaji wa sky sauti ndooooogo imewauma kweli haya warushaji picha rusheni basi...Punainen anataka kuona picha jamani za game lol. LFC 3-1.