Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mzee wa nilikuwepo sijamuona leo? Alafu thred zengine zinachuki hawaji kutupa pongezi wao wanakuja tukifungwa tu teh! teh! Ila poa hatuhitaji kupiga Cross 81 kumfunga Fulham 2-3 Away!Toure aanze kukaa bench tu OG gani zile mtu mzito mpaka refa anataka kumvunja FA watam ban hehehe! LFC YNWA!
 
Ila Kolo akae bench at all costs
 
Mzee wa nilikuwepo sijamuona leo? Alafu thred zengine zinachuki hawaji kutupa pongezi wao wanakuja tukifungwa tu teh! teh! Ila poa hatuhitaji kupiga Cross 81 kumfunga Fulham 2-3 Away!Toure aanze kukaa bench tu OG gani zile mtu mzito mpaka refa anataka kumvunja FA watam ban hehehe! LFC YNWA!

Hongereni.
 
Game ilikuwa tight but vijana wali fight mpaka mwisho although back line ilikuwa hovyo cku hiyo.

I can see the possibility when I look for the next fixtures we have. In BR we trust!
 
Arsenal wanamuanzisha sanogo leo,nawasikitikia sana maana kipigo still kipo upande wao leo.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Mechi ikiisha Uzunguke majukwaa yote ukitoa Pole kama unavyofanya Sasa....
Sawa mzee wa Nilikuwepo.
 
Leo Wenger atazimia baada ya mechi, Kama alianguka kipigo cha kwanza.
 
Mbona wanakaza hawa Arsenal!
Suarez unakuwa mwepesi kaka,tumewakamata hawa mbona...

"Nlikuwepo":bolt:
 
We sanogo unalia sasa hivi,we ngoja tu na mchezo wako huo...

"Nlikuwepo":bolt:
 
Back
Top Bottom