Wapi Okhondima mzee wa Nilikuwepo....:bolt:Njoo utetee huku hali ni mbaya!!
Nilikuwepo......:bolt::bolt::bolt::bolt::bolt::yield::yield:
Wapi Okhondima mzee wa Nilikuwepo....:bolt:Njoo utetee huku hali ni mbaya!!
Nilikuwepo......:bolt::bolt::bolt::bolt::bolt::yield::yield:
tayari. 4-3 liver wanaongoza Sizinga hii ndo liver bhana
Kaka,nadhani umeona kilichowakuta watoto.Jana nilikuwa na shughuli kidogo home na ndio maana nikashindwa kuja kuwakilisha humu.Ila kama unavyojua kuwa mtoto Halali na hela.Point tatu muhimu na tunasonga mbele. Siziga
"Nlikuwepo":bolt:
Tatizo lenu nyie ndugu zangu mpaka mshinde ndipaomnakuja Jukwaani kutoa update,,,otherwise mbio sinawasaidiaga!!kuna mchawi alikuwa anafuatilia akaanza kulalamika Suarez bora angeenda kuomba kazi ya howard Webb awe Kama yeye LFC YNWA! Mtachukia sana Nilikuwepo.
Mbali ya wapi unapotaka wewe? Kwani tumeanza nayo jana?
. Tuache kutizama mpira tuje hapa? Tufungwe ushindi sie tutakuja hapa ila muda LFC inacheza macho yapo kwenye TV sio Forum. Ila tunashukurumsaada wako Kama hatuoni utaona tunafuatilia Humu.Tatizo lenu nyie ndugu zangu mpaka mshinde ndipaomnakuja Jukwaani kutoa update,,,otherwise mbio sinawasaidiaga!!
Hamuendani kabisa na kauli mbiu yenu YNWA...nawashangaa sana!! Sababu haziishi, mara busy mara nini sijui...Lol Hongereni bhana kw ushindi.
hhaaaa ngoja nkucheke tu, nyie sio level ya gunners hata siku mojaKesho kibano kinaendelezwa, mtoto halali na pesa. Indiketa kwa Gunners na City:flypig: Chinuanua
hhaaaa ngoja nkucheke tu, nyie sio level ya gunners hata siku moja
Leo Vijana Wetu Wapo Vizuri Ugenin Kuendeleza Kipigo.
20:30
Liverpool Na Southamton