Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi hili jukwaa halina members?? Leo Swansea wanakaza vibaya always wanatoka nyuma mpaka sasa 3-3..dk ya 57
 
Wapi Okhondima mzee wa Nilikuwepo....:bolt:Njoo utetee huku hali ni mbaya!!
Nilikuwepo......:bolt::bolt::bolt::bolt::bolt::yield::yield:
 
Last edited by a moderator:
Suarez anadive mbaya anataka penalt aiseee....the guy is too much cheatiing to referees
 
kuna mchawi alikuwa anafuatilia akaanza kulalamika Suarez bora angeenda kuomba kazi ya howard Webb awe Kama yeye LFC YNWA! Mtachukia sana Nilikuwepo.
 
Wapi Okhondima mzee wa Nilikuwepo....:bolt:Njoo utetee huku hali ni mbaya!!
Nilikuwepo......:bolt::bolt::bolt::bolt::bolt::yield::yield:

Kaka,nadhani umeona kilichowakuta watoto.Jana nilikuwa na shughuli kidogo home na ndio maana nikashindwa kuja kuwakilisha humu.Ila kama unavyojua kuwa mtoto Halali na hela.Point tatu muhimu na tunasonga mbele. Siziga

"Nlikuwepo":bolt:
 
tayari. 4-3 liver wanaongoza Sizinga hii ndo liver bhana
Kaka,nadhani umeona kilichowakuta watoto.Jana nilikuwa na shughuli kidogo home na ndio maana nikashindwa kuja kuwakilisha humu.Ila kama unavyojua kuwa mtoto Halali na hela.Point tatu muhimu na tunasonga mbele. Siziga

"Nlikuwepo":bolt:
kuna mchawi alikuwa anafuatilia akaanza kulalamika Suarez bora angeenda kuomba kazi ya howard Webb awe Kama yeye LFC YNWA! Mtachukia sana Nilikuwepo.
Tatizo lenu nyie ndugu zangu mpaka mshinde ndipaomnakuja Jukwaani kutoa update,,,otherwise mbio sinawasaidiaga!!
Hamuendani kabisa na kauli mbiu yenu YNWA...nawashangaa sana!! Sababu haziishi, mara busy mara nini sijui...Lol Hongereni bhana kw ushindi.
 
. Tuache kutizama mpira tuje hapa? Tufungwe ushindi sie tutakuja hapa ila muda LFC inacheza macho yapo kwenye TV sio Forum. Ila tunashukurumsaada wako Kama hatuoni utaona tunafuatilia Humu.
 
Kesho kibano kinaendelezwa, mtoto halali na pesa. Indiketa kwa Gunners na City:flypig: Chinuanua
 
Leo Vijana Wetu Wapo Vizuri Ugenin Kuendeleza Kipigo.

20:30
Liverpool Na Southamton
 
Back
Top Bottom