Tmr I pray we dont disappoint..we go ahead and win the match, we become league leaders and we never let it go for the last 6 matches. The stars are aligning for Liverpool.
Never have we come so close to win the league. Its actually in our hands, we control our own destiny..
Please Dear God, let this one not slip away because I might die if that happens.
Mkuu uwa nahisi kuna zarau flani wachezaji wetu wanapo kutana na vi timu vidogo..refer game za swansea,cardiff na sunderland zote tumeshinda ila roho mkononi mkuu..Mkuu Jaslaws, game za Norwich ndo ambazo Suarez huwa anafunga anavyotaka, huwa mara nyiing sana hakosi hat-trick au bao 4 kila akicheza na Norwich..wabaya wetu Stoke city na southampton tushamalzana nao, hao ndo nahis huwa wabaya wetu saaaaaana..Hawa ChelShit na Man Shitty na Kawaida yaan BIG CLUBS zinakutana na MASSIVE CLUB....Tushindwe sisi Tu.
Game ya leo ni ngumu ila ushindi utabaki nyumbani..natamani stearing wamuanzishe pale mbele na suarez na danny...raugh zitakua nyingi tutapata penalt za kutosha..
Please guys...let us put our trust in BR coz he knows better. Spurs watakaa tu.mkuu,kwangu mimi natamani beki aanze sakho badala ya agger,lucas acheze dm,gerald asogee mbele kidogo,allen akae benchi,
Mkuu Mbu,
Tunaomba utuwekee hizi record zetu hapo juu,tushawaambia sana Mods naona wametukaushia! Kwa kuwa wewe ndo ulietufungulia uzi tunaamini hutatufanyia roho mbaya hata kama tuliwafunga Goli tano kwa Moja(Hata nyie mlitufunga lakini),anyway,tunaomba msaada wako mkuu...hebu edit hapo please...!
mnataka muwekewe?Reserves Division One Winners-161956/57, 1968/69, 1969/70, 1970/71, 1972/73, 1973/74, 1974/75, 1975/76, 1976/77, 1978/79, 1980/81, 1981/82, 1983/84, 1984/85, 1989/90, 1999/2000-
....khaaa,....!?
mpaka haya [/COLOR] mnataka muwekewe?
mtajaza Bandwith banaa
Naona Leo hatma ya Chelsea na man city juu ya mbio za kuwania ubingwa macho yao na masikio ni kwa Liverpool atafanya nini Leo.
Hakika bila shaka lazima awaache midomo wazi misim kadhaa tumehaha sana na tulikuwa kwenye hali tete tuacheni tujiachie msimu huu wetu bana.
Kombe hilooooo linanyanyuliwa na kaptain shupavuu Steven gerard
Jf ni forum kubwa sana usilinganishe na viblogi vyenu yaani bandwith kwa jf wala sio inshu kama unaona hatari ngoja tumpm mods atubandikie!!
Wakati mwingne historia haidanganyi 30/march/1964 tuliibamiza totenham bao 3-1 na tukakwea kileleni leo vilevile ni tar30/march/14 so baada ya miaka 50 historia inajirudia tena!!