Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tmr I pray we dont disappoint..we go ahead and win the match, we become league leaders and we never let it go for the last 6 matches. The stars are aligning for Liverpool.

Never have we come so close to win the league. Its actually in our hands, we control our own destiny..

Please Dear God, let this one not slip away because I might die if that happens.
 
amen! Tukishinda game ya leo nitafurahi sana.
 
Mkuu Jaslaws, game za Norwich ndo ambazo Suarez huwa anafunga anavyotaka, huwa mara nyiing sana hakosi hat-trick au bao 4 kila akicheza na Norwich..wabaya wetu Stoke city na southampton tushamalzana nao, hao ndo nahis huwa wabaya wetu saaaaaana..Hawa ChelShit na Man Shitty na Kawaida yaan BIG CLUBS zinakutana na MASSIVE CLUB....Tushindwe sisi Tu.
Mkuu uwa nahisi kuna zarau flani wachezaji wetu wanapo kutana na vi timu vidogo..refer game za swansea,cardiff na sunderland zote tumeshinda ila roho mkononi mkuu..
 
Game ya leo ni ngumu ila ushindi utabaki nyumbani..natamani stearing wamuanzishe pale mbele na suarez na danny...raugh zitakua nyingi tutapata penalt za kutosha..
 
mechi ya Leo ni mechi mhim sana zaidi ya sana kushinda.ilitukamate usukani wa ligi huku tukiniongezea matumaini ya kubebe ndoooo.

Chelsea na man city hazinitishi sana .hiii game ya Leo naona kama ni ngum sana aisee hatuhitaji draw ushindi ndio kila kitu ilituwakimbie wapinzani tunao gombania nao ndoo .natujiwekee mazingira mazuri hata kama mambo yataenda kombo pindi tutakapo kutana nao Chelsea au man city.
 
Game ya leo ni ngumu ila ushindi utabaki nyumbani..natamani stearing wamuanzishe pale mbele na suarez na danny...raugh zitakua nyingi tutapata penalt za kutosha..

mkuu,kwangu mimi natamani beki aanze sakho badala ya agger,lucas acheze dm,gerald asogee mbele kidogo,allen akae benchi,
 
mkuu,kwangu mimi natamani beki aanze sakho badala ya agger,lucas acheze dm,gerald asogee mbele kidogo,allen akae benchi,
Please guys...let us put our trust in BR coz he knows better. Spurs watakaa tu.
This is Anfield... au mmesahau?
 
Mm kwa sasa nakaribisha wale mashabiki wanaotaka kujiunga Liverpool fomu zipo anayehitaji ani-pim. Kwa sasa tukishakaa pale juu nafikiri mpaka ubingwa. Kwakweli hadi raha go go go go liver YNWA
 
Ila tatizo la mechi ya Leo ni kwamba tutakuwa na pressure sana, kama ilivyotokea kwa Sunderland, inabidi tucheze defensive game ndo tutaweza wafunga spurs. Ili litawezekana kwa kutumia midfielders watano ( Gerard, Lucas, Allen,Henderson na rahem) alafu pale nyuma akae sakho, strkel na Johnson. Then Suarez na dunny. Hapo rahem inabidi awe anashuka na kupanda wing ya kushoto. That is BR game plan then tutakuwa tumemaliza game believe me.
 
liver tunashinda game ya leo full stop, hayo mengine mbwembwe tu
 
Leo The Reds watatokelezea na logo inayoonekana hapo katika jezi zao, baada ya logo ya standard chartered kuwa replaced ili kusapoti kampeni ya ''kuona ni kuamini'' fans wa liverpool kwa pamoja tunaungana kusapoti kampeni hii ili kuepusha upofu kwa yeyote anayetuzunguka!! YNWA....
 
Attachments

  • Lfc.jpg
    Lfc.jpg
    28.9 KB · Views: 38
Mkuu Mbu,

Tunaomba utuwekee hizi record zetu hapo juu,tushawaambia sana Mods naona wametukaushia! Kwa kuwa wewe ndo ulietufungulia uzi tunaamini hutatufanyia roho mbaya hata kama tuliwafunga Goli tano kwa Moja(Hata nyie mlitufunga lakini),anyway,tunaomba msaada wako mkuu...hebu edit hapo please...!

....khaaa,....!?
mpaka haya
Reserves Division One Winners-161956/57, 1968/69, 1969/70, 1970/71, 1972/73, 1973/74, 1974/75, 1975/76, 1976/77, 1978/79, 1980/81, 1981/82, 1983/84, 1984/85, 1989/90, 1999/2000-
mnataka muwekewe?

mtajaza Bandwith banaa
 
Naona Leo hatma ya Chelsea na man city juu ya mbio za kuwania ubingwa macho yao na masikio ni kwa Liverpool atafanya nini Leo.

Hakika bila shaka lazima awaache midomo wazi misim kadhaa tumehaha sana na tulikuwa kwenye hali tete tuacheni tujiachie msimu huu wetu bana.

Kombe hilooooo linanyanyuliwa na kaptain shupavuu Steven gerard
 
....khaaa,....!?
mpaka haya [/COLOR] mnataka muwekewe?

mtajaza Bandwith banaa

Jf ni forum kubwa sana usilinganishe na viblogi vyenu yaani bandwith kwa jf wala sio inshu kama unaona hatari ngoja tumpm mods atubandikie!!
 
Naona Leo hatma ya Chelsea na man city juu ya mbio za kuwania ubingwa macho yao na masikio ni kwa Liverpool atafanya nini Leo.

Hakika bila shaka lazima awaache midomo wazi misim kadhaa tumehaha sana na tulikuwa kwenye hali tete tuacheni tujiachie msimu huu wetu bana.

Kombe hilooooo linanyanyuliwa na kaptain shupavuu Steven gerard

Pamoja sana LEGE nashangaa baadhi hawajiamini na gemu ya leo!
 
Last edited by a moderator:
Jf ni forum kubwa sana usilinganishe na viblogi vyenu yaani bandwith kwa jf wala sio inshu kama unaona hatari ngoja tumpm mods atubandikie!!

Dahhh....

Sasa kumbe short cut unaijua #Mkuu lawama za nini?
Ongea na Mod.

Wenyewe Wakongwe wa jukwaa hili kina TIMING, @aspirin, @qm wameridhia tuliii miaka na miaka....anyway

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingne historia haidanganyi 30/march/1964 tuliibamiza totenham bao 3-1 na tukakwea kileleni leo vilevile ni tar30/march/14 so baada ya miaka 50 historia inajirudia tena!!
 
Dahhh....

Sasa kumbe short cut unaijua #Mkuu lawama za nini?
Ongea na Mod.

Wenyewe Wakongwe wa jukwaa hili kina TIMING, @aspirin, @qm wameridhia tuliii miaka na miaka....anyway

#MosKwito !

Mkuu tunajua wewe ni mkongwe na ni founder wa thread hii lakini isiwe sababu sasa ya kuwa na maringo, tumpm mod lakini sometym wanakuwa busy sana but kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako shabiki mwenzetu unakuja kutukata maini kwa reason ya server. Kama server kujaa ingekuwa imejaa siku nyingi emu kachungulie jukwaa la ''mahaba niuwe'' kila baada ya dk 2 unapostiwa ugoro na hatujasikia uongozi kulalamika wanajaziwa server!!
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingne historia haidanganyi 30/march/1964 tuliibamiza totenham bao 3-1 na tukakwea kileleni leo vilevile ni tar30/march/14 so baada ya miaka 50 historia inajirudia tena!!

nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom