Sasa tatizo lako Ukipigwa za USO unafumba macho kwa kudhani kuwa unaikwepa kumbe kipigo kipo pale pale.
BR aliyewahi kufanya kz chini ya Mourinho Eti asiwe anatabilika ktk mbinu Zake! Teh Teh Teh Teh
LIVERPOOL 4 VS TOTTENHAM 0 (30Mar2014)
Alama zangu za viwango kwa wachezaji wa Liverpool
1. Simon Mignolet 7
Kipa hakupata misukosuko sana ingawa tuliona umahiri wake alipookoa shuti la Bentaleb. Alikuwa ametulia na distribution zake zilikuwa zina macho
2. Glen Johnson 8
Anastahili kupata lama 8. Krosi yake ndiyo iliyozaa goli la kwanza na kutoa nuksi. Ushirikiano wake na Sterling ulionekana kuwapa shida walinzi wa Spurs. Rose had a hard time!
3. Daniel Agger 8
Kempteni msaidizi amekuwa akisakamwa sana kwamba kiwango chake hakiridhishi. Jana hali ilikuwa tofauti kabisa. Utulivi na pasi zake ziliweza kujenga mashambulizi kuanzia nyuma.
4. Martin Skrtel 7
Kila mmoja atakubali kwamba blocking aliyoifanya against Eriksen was a goal opportunity. Alifanikiwa kumweka mfukoni Soldado kama alivyofanya kwa van persie
5. Jon Flanagan 7
Bwana mdogo kiwango kinazidi kupanda. Aliweza kumzibiti Eriksens wakati akiwa na nafasi nzuri. Ila wengi tutamsifu alipouwahi mpira ambao ulikuwa na madhara sana endapo Soldado angeufikia was it penalty?...hivi aaron lennon alikuwepo uwanjani? ahahahahahaaa
6. Stephen Gerard 8
Captain Fantastic kama kawaida with a cool head ameonyesha ni kitu gani kinastahili kufanywa na mtu mzoefu in crucial moments. Wakati wote amekuwepo kusaidi defenders and things looks very secured when he was around. Well done Stevie G!
7. Philippe Coutinho 8
A little Brazilian wizard, wote tulishuhudia distribution zake zilivyokuwa zikizaa matunda. Hivi unajua kwamba goli alilolifunga alitoka na mpira toka katikati ya kiwanja? Amazing!
8. Jordan Henderson 8
Engine room ilifanya kazi yake kuhakikisha hakuna midfielder wa spurs anayepumua. Bilashaka eriksen atajilaumu sana kusajiliwa na spurs kwa kuikataa Liverpool. Baada ya kuwa cleared kwamba goli ni la kwake na siyo Suarez then I bealive ataongeza juhudi kwenye mazoezi ya free kicks
9. Raheem Sterling 9
Ukimweka pembeni Elpistorelo, Raheem Sterking nimempa marks za juu kwasababu naamini anastahili. Alivyochangia kwenye goli la kwanza. Alivyowatoka mabeki na kupiga kross iliyotua kichwani kwa Surez na kuokolewa na Loris. Speed & pass accuracy. Hata pale kocha alipombadilisha na kumrudisha kati baada ya kumtoa couti, dogo aliendelea kuleta balaa. But I still think he should have score when he was face to face with Lloris
10. Luis Suarez 9
Yamesemwa mengi na yanaendelea kusemwa mengi. Hakuna asiyejua heshima aliyonayo Robbie fowler kwenye ulimwengu wa soka. Definately, inahitaji mashine, jembe la ukweli kuweza kumzidi gwiji Fowler. Kama unabisha kwamba surez siyo mashine then, rudia kuangalia tena mechi ya jana...baada ya filimbi ya mwisho waangalie danny rose, kaboul, dawson walivyokuwa wamechakaa kwa shughuli waliyo kutana nayo toka kwa the Gladiato!!!
11. Daniel Sturridge 8
Liverpool so far ni timu ambayo haichezi tu mpira bali inatoa burudani at the same time. Burudani hii, haitoki kwa couti, elpistolero au sterling peke yao, ila pia kwa mshambuliaji tegemeo kwa taifa la England. Kocha anamtumia kama central striker lakini he always interchange his position with Suarez. Nina hakika mabeki wa spurs wana kitu cha kuhadithia
mkuu ommy ingekuwa vizuri Kabla kurukia maneno watu ungechunguza watu walikuwa wanasema nini? Mpaka yalifikia hapo zaidi ungeyawacha tu Mbu aliuliza kwa kusudi akasema najuwa watu watakuwa Hawana kumbukumbu tena Manager Kabla ya Rogers alikuwa nani? Na aliuliza kwa utani na sio Kama watu hatujui ila sababu tumetaka kumjibu kwa ujeuri ndo tukaruka na kusema Benitez alileta CL makusudi na yeye kaelewa Kama tuna leta jokes kaka hapa pazoeee hizi zote ni Banter za utani. Haina haja mtu kumuhakikishia umeanza ushabiki lini Kama enzi za Toshiba au. Candy au Carslberg au Bank Ads wewe shabikia tu hata Kama umeanza Leo haina ubaya LFC YNWA! Upendo muhimu Humu watu kutaniana kawaida ndomana Ntuzu anashinda Humu na maji anapewa kiu kinamuumiza Chelsea japo maji ya Shingo, Ntuzu vipi upo hehehe..We nawe umezingua kabla ya Rogers alikuwepo king Danglish kabla ya Roy hogson na ndio Benitez kutoka kwa Gerald Hollier
mkuu ommy ingekuwa vizuri Kabla kurukia maneno watu ungechunguza watu walikuwa wanasema nini? Mpaka yalifikia hapo zaidi ungeyawacha tu Mbu aliuliza kwa kusudi akasema najuwa watu watakuwa Hawana kumbukumbu tena Manager Kabla ya Rogers alikuwa nani? Na aliuliza kwa utani na sio Kama watu hatujui ila sababu tumetaka kumjibu kwa ujeuri ndo tukaruka na kusema Benitez alileta CL makusudi na yeye kaelewa Kama tuna leta jokes kaka hapa pazoeee hizi zote ni Banter za utani. Haina haja mtu kumuhakikishia umeanza ushabiki lini Kama enzi za Toshiba au. Candy au Carslberg au Bank Ads wewe shabikia tu hata Kama umeanza Leo haina ubaya LFC YNWA! Upendo muhimu Humu watu kutaniana kawaida ndomana Ntuzu anashinda Humu na maji anapewa kiu kinamuumiza Chelsea japo maji ya Shingo, Ntuzu vipi upo hehehe..
media ni kweli kuna British na Kuna. English Kama ni British Sir Alex ni British na Kenny ni British na George Graham ni. British walishinda League na. Shankly ni Britiswalishinda League wote ukichunguza ni Scotish England au English wao Hawana ma Manager wazuri Rogers ndio British ila Sio English angekuwa. English ndio angepambwa anapewa sifa sababu alivyoisafisha timu na hakutoka timu kubwa, British Muengereza hampambi Scotish wala Irish English Manager wazuri alikuwa Bob paisley na Brian Clogh na wote hawa walijifunza kwa ma. Scotish duniani ma Manager wazuri ni Italy timu kubwa na ndogo na Holland Mie English mmoja tu angepewa nafasi angefanya vizuri ni Glenn Hoddle jamaa smart Sema alivyosema kuhusu vilema ilimponza jamaa anapesa ndomana Hana muda wakurudi football waliobakia English Manager hakuna kitu Kama Big Sam na. Parades hapa EPL manager ni Arsene. Wanger tu sasa hivi.Brendan Rogers akibeba kombe mtasikia jinsi media za UK zitakavyoanza kuchonga umuhimu wa kuwa na makocha wa kibritish na zitawasakama makocha wa kigeni kama wanavyowasakama wachezaji wa kigeni
But I have some reservations..I love Agger, however I think he should be benched for Sakho..alafu Lucas should return to the team too but I dont know at whose expense.
I think for the remaining 6 games, our starting line up should be:
Mingolet.
Johnson Sktrel Sakho Flanagan
Lucas, Henderson Gerrad
Sturridge, Suarez, Sterling/Coutinho.
Brendan anampenda sana Allen..sidhani kama anaweza muweka bench hata kwa mechi mbili mfululizo.
Mnaonaje?
we need to be more defensive minded...especially against Chelsea and Man City..against West Ham and the like, we can afford a very strong attacking line up like today.
Mkuu Ntuzu, una kikosi gani ambacho kinaweza kuitisha Liverpool pale Anfield?????..Au ile misese yako mitatu pale Mbele??..Torres, Etoo na Demba Ba, ambao sidhan hata imefikisha magoal 20 kweny league msim huu..???.Au kina Willian na Mwenzake Ramirez wanaocheza mpira kama wanapakua mizigo sokon???..Nguuuuvu nyiiiing, akili kidogo, Maskini yule Willian zaman alikuwaga fundi sana alikuwa anapiga mpira laini kama wa kina Coutinho, Alcantara, Iniesta, Ozil, Silva, Carzola, Lakin tangu aje hapo Chelsea anapiga mpira MGUMU saaaana...MATA angekaa hapo chini ya huyo Morinyo angepotea saaana....
mkuu ommy ingekuwa vizuri Kabla kurukia maneno watu ungechunguza watu walikuwa wanasema nini? Mpaka yalifikia hapo zaidi ungeyawacha tu Mbu aliuliza kwa kusudi akasema najuwa watu watakuwa Hawana kumbukumbu tena Manager Kabla ya Rogers alikuwa nani? Na aliuliza kwa utani na sio Kama watu hatujui ila sababu tumetaka kumjibu kwa ujeuri ndo tukaruka na kusema Benitez alileta CL makusudi na yeye kaelewa Kama tuna leta jokes kaka hapa pazoeee hizi zote ni Banter za utani. Haina haja mtu kumuhakikishia umeanza ushabiki lini Kama enzi za Toshiba au. Candy au Carslberg au Bank Ads wewe shabikia tu hata Kama umeanza Leo haina ubaya LFC YNWA! Upendo muhimu Humu watu kutaniana kawaida ndomana Ntuzu anashinda Humu na maji anapewa kiu kinamuumiza Chelsea japo maji ya Shingo, Ntuzu vipi upo hehehe..
Teh Teh Teh Teh! Ivi wewe unakikosi gani cha kuisumbua Chelsea?
Nimepita ktk machinjio ya hatari tena yenye safu za kushambulia zenye uchu Lkn wamechemka!
Machinjio ya Etihad wote nyie mmeacha point 3 na vipigo vikibwa Lkn hiyo unayoiita miseseta na Mourinho walitua pale Etihad na wakavunja rekodi! Sembuse wewe jogoo uliezeeka?
Chelsea kila mchezaji anakufunga Kwahiyo km tukitua hapo sijui umkabe nani umuache nani? Sio nyie akishikwa zombi mnyonya damu na yule mnyaturu Wa kiingereza Daniel Basi Hakuna tena mpachika magoli!
Teh Teh Teh Teh
Eti Mnyaturu wa Kiingereza...nimecheka kweli! Unautani na kamanda Mangu au Tundu Lissu mkuu.
All in all pale Anfield lazima mkae tu!
hahahah..We Ntuzu, Huyo Man City anaekupa kiburi kisa eti ulimfunga, Nae alikaa kwa team kama Cardiff na Sunderland, asa sembuse wewe na wale wamakonde wako kibao wale ambao babu zao walikimbilia Brazil wakat wa buashara ya Utumwa kipich hichooo, Wanacheza mpira mgumu kama nn, Afu me syo kama Manure au Arsenal, nlikufuka kifo cha kawaida tu Etihad pale 2-1...