Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hahahah..Ntuzu, huyo Hazard na mwenzake schurlle ile jmos Vs Crystal palace Mbona walikuwa wanakimbia kimbia tu uwanjani...???

RedCafu (Flanagan), Anawasubiri saaana, manake ndo sehem zake za kuchukulia sifa hizo...


Teh Teh Teh Teh Teh

Flanagan atakua uchochoro Huyo! Mi Yangu macho!
 
People don't loose FOCUS... our next game is WestHam United and not Chelsea!

Nadhani wamesahau kuwa baada ya westham ni man city na si wao chelsea!
Wameacha kufanya yao kwa stress wanazopata kutoka kwa coach wao.

"Nlikuwepo":bolt:
 


Asante sana kwa analysis yako..naona tupo page sawa tofauti kidogo, baada ya kuangalia mechi ya west ham na sunderland jana, nakubaliana kabisa, tuwafungulie full cylinder. Yaani wote, Suarez, Sterling, Sturridge, Coutinho. Wale majamaa wanadefend hatari.

All in all, tuombe Mungu tushinde..natamani yaani siku ziende fasta.
 
Full Moon chelsea ni kitu kingine Mkuu!

Hicho kikosi unachpanga na Mimi nikipanga changu utakimbia!

Lkn kaa ukifahamu Kua siku the blues wakitua hapo jogoo lazima achinjwe!

Kabisa..watu unajua hawajui, Chelsea are more afraid of us kuliko sisi kuwaogopa.

Hamna team inataka kucheza na sisi sasa..pressure kwao..we can afford a draw against them.
 
Mkuu Full Moon, siku nyingi sana... Kulikoni?
Hii post ndo kwanza nimeona leo..sorry.

Nilikimbia JF kwa sababu nyingi tu 🙂

Nipo SSC..but saa hivi narudi kisa hii uzi huu tu.

Vipi? Pressure inapanda kisa ubingwa?
 
Hatimaye jukwaa limechangamka baada ya kuwa dormant tangu JF ianzishwe
 
Viwango vya wachezaji wa Majogoo kwa gemu ya (Liverpool-chelsick 27Apr01) ni wazi kwamba vitatofautiana na hiyo gemu na spurs kwasababu spesho mouth atafanya kila awezalo kupanga basi. And I’m afraid that will make the game to be very boring to watch!! Imagine alichokifanya kwenye gemu ambayo alikuwa nyumbani dhidi ya Liver…cech, Ivan,Azp,Cahill,terry,luiz,lamp/obi,eden,will,osc,eto. Will wakati wote alikuwa akirudi kucheza double rb wakati eden na yeye alifanya hivyohivyo akawa kama extra lb. Mbele akibakiza Os na eto. luiz hakuwa akimsadia lamp kwa lolote zaidi ya kucheza vurugu na bila shaka alifanya hivyo kwa maelekezo ya spesho mouth. Maelekezo hayohayo yalisababisha eto kumchezea rafu Henderson, and that was a straight red, rafu ya pili kwa ‘The GLADIATOR” was a clear penalty. But hey…do you remember who the referee was? Kwenye mahojiano domo kaya anatetea rafu za eto…huku upande wa pili eto anakubali na kuomba radhi kwa mchezo mchafu. Your dmo kaya should be ashamed of himself!! Sasa kama mchezo wenu wa nyumbani ambapo Stevie G na sturridge wakiwa majeruhi mlicheza that defensive, unategemea nn mtakapo kwenda Anfield? A bet spesho mouth siku hiyo atasimama kwenye formation yake maarufu ya 9-0-1, forward akiwa david luiz. Na hilo siyo jambo geni kwani tuliona akifanya upuuzi huo wakati akiwa Madrid, akiwaacha nje benzema, Adebayo na higu huku akimchezesha pepe as central striker. THE GUY IS THE SHAME TO FOOTBALL!!
Mwambie tena Huyo jamaa yako Tarehe 27 aje na data Zake km hizi za kiwango!
 
Pamoja kiongozi Full Moon. Ule ndiyo mchezo wa big sam, apart from defensive game jamaa watumia nguvu sana…angalia goli alilofunga andy utagundua hawa hamaa ni wa aina gani. Beki yetu ya kati inatatizo sana inapokuja ishu ya cross and long balls, nafikiri ndiyo sababu BR aliamua kumchukua sakho na illori kwakuwa wana-height nzuri na umri wao unawaruhusu kukua wakijifunza how to be physical against the likes of benteke,andy,jones,anichebe…kwasasa tutumie tulicho nacho. Kama tutaweza kupress as high as we did against aseno ama spurs, then tutawanyima nafasi ya cross ama long balls kwasababu watakuwa wamechanganyikiwa kwa kutafuta mpira kwa tochi. Attack! Attack! Attack!
 



Teh Teh Teh Teh Teh Teh

Duh!!!!!! Kweli Mourinho kiboko! Yani ktk hizi mbinu unazozungumzia ndio ziliwafunga nyie, Man City, Arsenal na Man Utd! Sasa wembe ni huo huo mjipange kubomoa huo mfumo!

Bilashaka Mimi ata mkimpanga sijui nani na mumuache nani! Ninachojua Mimi nikiweka kikosi kz changu kwako Yani lazima wote mmpotee!

Chezea Mourinho wewe?

Mlikuja darajani Na mkapata goli kwanza nyie! Kilichowatokea nafikiri unakikumbuka vzr! Timu yenu ilisukumwa nyuma yote na mkawa mnalinda goli tu mpk mpira ulipoisha! Na vilevile Jose mpira Wa kupaki Basi ameachana nao! Kwasababu ana timu yenye uwezo wote iwe ugenini na nyumbani!

Teh Teh Teh Teh Chelsea bhana ! Raha sn!
 
Kabisa..watu unajua hawajui, Chelsea are more afraid of us kuliko sisi kuwaogopa.

Hamna team inataka kucheza na sisi sasa..pressure kwao..we can afford a draw against them.

Not draw, Mourinho kipindi hiki anaketishwa
 
Kabisa..watu unajua hawajui, Chelsea are more afraid of us kuliko sisi kuwaogopa.

Hamna team inataka kucheza na sisi sasa..pressure kwao..we can afford a draw against them.


Nani anaogopa Au kuiogopa Liverpool na Kwa wachezaji gani mpk waogopwe?

Draw ndio Ushindi wenu tena Umesema vema Kwa kuliona Hilo Vinginevyo lazima mpigwe!
 
Maelezo yangu ni majibu ya quote yako which was mocking the rates I suggested to the leaders of Barclays Premier League. Nilichokiandika kimesheni vitu vyakimpira na uhalasia wa kilichotokea. Vilevile nimeelezea matarajio yangu ya mchezo utakavyokuwa nikigusia tabia mbaya za spesho mouth kutaka kuwabadili wachezaji wazuri kama eto waonekane wanatabia mbaya kama za kwake.

Nachukua nafasi hii kumsifu eto kukataa upuuzi wa domo kaya…vipi ile style ya eto kushangilia kama babu na mkongojo?..uliona domo kaya alivyoweweseka alivyoulizwa kuhusia na hilo dongo alilopigwa na eto…(eto+domo=crisis)…ehehehehehehe

Kwenye hii quote yako naona tu maneno ambayo hayana mashiko yeyote yakimpira and especially kwa chelsick. Umesema tu kwamba domo kaya ameachana na kupaki basi ila chaajabu umeshindwa kutete hoja yako kama mtu anayejua mpira.

Tell you what…in long balls and crosses, crystal is nothing compare to Stoke!
 


Teh Teh Teh

Osokonoi kumbe hapa wataka tushindane Kwa hoja za kimpira?!!! Teh Teh Teh Mourinho na Eto'o ni kitu kimoja km ulikua hauelewi ndio ufahamu kuanzia Leo!

Alafu kule kuongea Kwa Jose kuna faida sn Kamuulize Mzee Wenger specialist in failure! Teh
Teh Teh farasi Mdogo anaejifunza kukimbia!
 

Daaa we jamaa unanivunja mbavu uku..hyo fomesheni ni hatari...
 
Nani anaogopa Au kuiogopa Liverpool na Kwa wachezaji gani mpk waogopwe?

Draw ndio Ushindi wenu tena Umesema vema Kwa kuliona Hilo Vinginevyo lazima mpigwe!

wewe unaongea sana na hujaelewa..nimesema kuwa in the grand scheme of things we can afford a draw, meaning hamtatukamata..sisi tunaangalia man city match zaidi kuliko yenu.

anyway, subiri mechi..mi mwaka huu nimeacha kuongea, ntaongea mwezi wa tano 🙂

Good luck kesho..Ibra Cadabra mbayaa.
 
Duh Belo na ww ulikimbia...mambo yakiwa mabaya tu mbio.
Jukwaa hili mi siappreciate sana hawa jamaa siku wakifungwa huoni mtu hapa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…