nakushukuru kwa kukubali ukweli..mmepewa penati nyingi msimu huu.
hongereni kwa kupewa penati nyingi msimu huu...:nod:
Sahihisho: Hatupewi penalties... bali tunazitafuta kupitia mashambulizi makali na juhudi binafsi za wachezaji with!
Mwaka huu hii ndoo yetu
YWNWA
big up mkuu kwa hizo picha ukweli unapo dhihiri uongo hujitenga
unaweza kusababisha penati na ikawa ni kweli penati na refa asitowerefa ndo hutoa penati. nyie mnasababisha...umeelewa sasa.
Wengi watasema hizi ni picha tu ingewezekana tungeweka video Kama wapo waliotizama maelezo ya video ya wengi wamejirudi na kusema ni Penalt ya kwanza jamaa wa west ham kacheza table tennis kwa mkono na analijua alichofanya toeni unazi na Foul ya West Ham ni Foul japo wanazi wachuki binafsi hawataki kuongelea wao wanakimbilia kuongelea Penalt, Penalt ya pili mwanzo Mie binafsi nilisema sio Penalt mpaka siku ya pili niliona TV nyingi zikijadili Penalt ya pili na Marefa pia wa zamani kwenye TV wamejadili wameswali kisheria ile ni Penalt na Kocha na wengi walimsema ni Penalt walisema hivi nanukuu Kocha Celtic ya Scotland alivyosema Flanagan aliugusa mpira kwanza ndio kipa akagusa mpira ila japo kipa na kugusa mpira haukuenda mpira pembeni ulienda Mbele Flanagan akagusa tena mpira hapo sasa kipa akaendelea kugusa miguu tunaongelea mpira haujatoka nje ya uwanja kandanda linaendelea ndomana Kama sturidge angefunga lisingekataliwa pale sababu Flanagan yeye hajafanya foul ulimgonga tena miguuni mwake huku kipa akigusa miguu ukaangukia kwa sturidge, mwenye akili ataelewa asiekuwa na akili atazidi kubishana na marefa nao waliongelea hivyohivyo so kwaujumla ni Penalt hakuna lililopendelewa
Against Man City ndo itakuwa gemu itakayoamua mustakabali...but our trust is in BR, the master tactician wa msimu huu!
YNWA...!
Mkuu agosti 8 na Wewe umepita kukachangamsha haka kathread Ka jogoo!
Kwi Kwi Kwi
Tarehe 27 watakoma!
Kipapai mapresha sana aisee... Ila ni bora kuliko Reina