Mkuu
agosti 8 na Wewe umepita kukachangamsha haka kathread Ka jogoo!
Kwi Kwi Kwi
Tarehe 27 watakoma!
Ntuzu, hebu nikupe udhaifu kidogo wa team yako ya Chelshit...
Ntatumia team ambazo zipo Top7, (Liverpool, man city, arsenal, everton, spurs and ManureUtd)
Katika hizo team ni team moja tu ambayo umefanikiwa kuifunga away na darajan, ni Man City Tu..
Arsenal ilikuwa draw pale emirates, na ManureUtd ilikuwa draw pale oldTrashFord, spurs ilikuwa 1-1, nakumbuka alikuokoa JT kwa freekick ya Mata, kwa Everton pale Goodson park ulikufa 1-0,
Hapo nataka nikuoneshe ni jinsi gani ulivyom-bovu ugenini ndugu yangu Ntuzu..Na safar hii unakuja Anfield..
alafu, striker wako unaemtegemea msim huu, Etoo mwenye magoal nane tu ya kwenye league tangu umemsajil, yote ameyafungia darajani tu,
so ukinambia unakuja kutafuta draw ntakuelewa, lakin siyo kuja kunifunga mimi Anfield,
kwenye hyo list sjaweka team kama Aston villa, westBromwich, stoke city, crystal palace...