Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

article-0-1CE2C73F00000578-56_634x558.jpg


article-0-1CE2C90600000578-284_634x435.jpg

Mkuu wewe ndo umekata mzizi wa fitna kwa hizi picha...!

CC: Kigogo and the likes!
 
Last edited by a moderator:
Wengi watasema hizi ni picha tu ingewezekana tungeweka video Kama wapo waliotizama maelezo ya video ya wengi wamejirudi na kusema ni Penalt ya kwanza jamaa wa west ham kacheza table tennis kwa mkono na analijua alichofanya toeni unazi na Foul ya West Ham ni Foul japo wanazi wachuki binafsi hawataki kuongelea wao wanakimbilia kuongelea Penalt, Penalt ya pili mwanzo Mie binafsi nilisema sio Penalt mpaka siku ya pili niliona TV nyingi zikijadili Penalt ya pili na Marefa pia wa zamani kwenye TV wamejadili wameswali kisheria ile ni Penalt na Kocha na wengi walimsema ni Penalt walisema hivi nanukuu Kocha Celtic ya Scotland alivyosema Flanagan aliugusa mpira kwanza ndio kipa akagusa mpira ila japo kipa na kugusa mpira haukuenda mpira pembeni ulienda Mbele Flanagan akagusa tena mpira hapo sasa kipa akaendelea kugusa miguu tunaongelea mpira haujatoka nje ya uwanja kandanda linaendelea ndomana Kama sturidge angefunga lisingekataliwa pale sababu Flanagan yeye hajafanya foul ulimgonga tena miguuni mwake huku kipa akigusa miguu ukaangukia kwa sturidge, mwenye akili ataelewa asiekuwa na akili atazidi kubishana na marefa nao waliongelea hivyohivyo so kwaujumla ni Penalt hakuna lililopendelewa
 
kwani jamani Liverpool hatuna haki yakufarahi kama ambavyo wenzetu mlikuwa mnafurahi misimu iliyopita??
kuna wengine furaha yao ilikuwa mwanzoni na matambo kibaoooo.lakini now wameishia kugombea nafasi ya 4 iliwaweze kushiliki uefa msim ujao.

kama ni pernalt acheni tupewe tuuu kwani ss hatustahili kufunga au shinda kwa pernalt??
 
Mkuu agosti 8 na Wewe umepita kukachangamsha haka kathread Ka jogoo!

Kwi Kwi Kwi


Tarehe 27 watakoma!
 
Last edited by a moderator:
Khe Khe Khe Khe

Mnabidii ya kuweka picha!!!!!!

Na Siku jogoo akichinjwa muweke basi hizo picha! Msiwe mnajificha!
 
Mkuu agosti 8 na Wewe umepita kukachangamsha haka kathread Ka jogoo!

Kwi Kwi Kwi


Tarehe 27 watakoma!

Ntuzu, hebu nikupe udhaifu kidogo wa team yako ya Chelshit...

Ntatumia team ambazo zipo Top7, (Liverpool, man city, arsenal, everton, spurs and ManureUtd)

Katika hizo team ni team moja tu ambayo umefanikiwa kuifunga away na darajan, ni Man City Tu..

Arsenal ilikuwa draw pale emirates, na ManureUtd ilikuwa draw pale oldTrashFord, spurs ilikuwa 1-1, nakumbuka alikuokoa JT kwa freekick ya Mata, kwa Everton pale Goodson park ulikufa 1-0,

Hapo nataka nikuoneshe ni jinsi gani ulivyom-bovu ugenini ndugu yangu Ntuzu..Na safar hii unakuja Anfield..

alafu, striker wako unaemtegemea msim huu, Etoo mwenye magoal nane tu ya kwenye league tangu umemsajil, yote ameyafungia darajani tu,

so ukinambia unakuja kutafuta draw ntakuelewa, lakin siyo kuja kunifunga mimi Anfield,

kwenye hyo list sjaweka team kama Aston villa, westBromwich, stoke city, crystal palace...
 
Last edited by a moderator:
Kipapai mapresha sana aisee... Ila ni bora kuliko Reina

Ni kweli kabisa mkuu, Mignolet sometimes ana makosa ya kipuuzi sana, ile confidence yake ya mwanzo wa msimu imepungua kabisa, anahitajika kipa mwingne wa kumpa competition golin, Sidhan kama Brad jones anampa wasiwasi wa Number..
 
Back
Top Bottom