Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamani ubishani uishe cha muhimu tumpe Nzi Nzi Nzi tumpe SHUKA NA KITANDA alale humu manake kucheza wamecheza LFC na CITY na Kufungwa 3-2 kafungwa Man City anaumia mwengine na mada zengine tumpende mwenzetu Nzi tumpe tu nafasi Alale humu leo arizike manake atashinda 24 hrs hehehehe Nzi with LFC we don't hate u we love you YNWA! Lete zengine uwanja wako leo.
 
kashengo, acha kuongea vitu ambavyo huna uhakika navyo aisee..

Kwahyo kwa mtazamo wako Arsenal hamna world class player pale???

World class was suppose to be Ozil wengine ni Top class
 

Sasa imekuwa young and talented tena? Siyo United haiwezi kuattract top class players?

Au sasa United haiwezi kuattract young and talented players?!?

Still don't get your argument, chief!!

Maana EPL ni ligi yenye ushindani! Na United inashiriki kwenye ligi hiyo! Sasa ni unachosema?!?
 

Look who is talking!

Mimi mbona nimo kwenye jukwaa zima la sports..kila mahala na chumba changu cha kulala...sasa sijui una lipi jipya!!
 

nani ambaye amesema Man utd hawez kuatract world class player???

Nnachojua mimi hapa, tulianza kubshana kihoja kuhusu Uworld class player wa Gerrard, then tukahamie kwa fact ilyompeleka Ibra PSG

Sjaongelea sehem ambayo inasema Man utd haiwez kuatract world class player..
 
Nzi nasikia Man utd wanataka kuwazidi kete Tottenham na kumleta Van Gaal Old Trafford unaonaje atawarudisha juu au?
 
Kamuulize refa pale Liverpool..sasa atakuwa ameshaoga na yupo tayari kwa kuulizwa na waandishi wa habari...

Mwaka huu referees' decisions zimekuwa upande wenu sana, bisha, ukatae ama ukubali, huo ndio ukweli..

Bandugu hamuishiwi maneno tu, kwi kwi kwi kwi!!Nilijua mtasema LFC na leo wamepewa penalt, ila ufike wakati tuweke Upinzani pembeni tuongee ukweli, Msimu huu LFC iko vizuri ki Team!!Big up Pep Guadiola na Pellegrin kwa kuliona ilo na kuikubali hii team tena hadharani, najua wengine wanakubali vyumbani mwao kimyakimya
 
Hongera Liverpool,, ingawa kwa mitungi ya gas hahahaha,, anyway hongeren
 

Dah! Pole chifu! Nimeongea mpaka nachanganya masuala hapa. Nisamehe chifu wangu.
 
Nzi nasikia Man utd wanataka kuwazidi kete Tottenham na kumleta Van Gaal Old Trafford unaonaje atawarudisha juu au?

I will support any decision that will be for the best of the club.

If van Gaal is the man that United's board think will lead United to glory, then YES.
 
Facts zip znamfanya Ozil aonekane world Class pale Arsenal???

Ndio maana nimesema "was supposed to be" kwani wakati akiwa Real alikuwa World class bila shaka.....lakini kwa sasa ameshuka haonekani kwenye Big occasions ambapo timu inamuhitaji....

Mi siongei kinazi ndo maana hatuelewani..timu kama manure wao ROONEY,RVP na kwa mbaali De Gea hakuna World class mwingine pale

Kuna tofauti kubwa ya World class,Top class,Average, flop au Misfit...

World class players Ni shidaa.....

Giroud nashindwa ni Average au Flop au Misfit......huyu simsomi kbs mpaka leo
 

Kwa Rooney kuna wachambuzi wanaona hajawa bado world class..wakisema amekuwa inconsistent sana kwenye the biggest stages (hususani national team katika WC ama Euro). Kwa ujumla mchango wake katika national team siyo mkubwa kama kilivyo inavyostahili...
 
Liverpool leo imeweka rekodi ya msimu ya kushinda mechi 10 mfululizo.Mara ya mwisho kufanya hivyo ilikuwa ni msimu wa 2005/2006 ambapo iliishia nafasi ya tatu.

Kati ya timu 6 ambazo zimewahi kushinda at least mech 10 mfululizo kwenye premier,ni liverpool pekee ambayo haikutwaa ubingwa.

Arsenal(2001/2002) waliweka rekodi isiyovunjwa mpaka leo kwa kushinda mfululizo mechi 13.Arsenal ilichukua ubingwa msimu huo.

Man united (1999/2000) na (2008/2009) walishinda straight 11 games na mara zote mbili walichukua ubingwa.Arsenal tena (1997/1998) walishinda gem 10 mfululizo na walishinda ubingwa.

Chelsea(2005/2006) walishinda 10 straight games na walichukua ubingwa.

Kwa hiyo ni liver pekeake iliyowahi kushinda 10 consecutive games kwenye premiership na kutochukua ubingwa.Je msimu huu itakuaje?

Lakini pia tunaona timu zote zilizoshinda mechi 11 na kuendelea zilichukua ubingwa.Ni liverpool peke ake itakuwa imeshindwa tena kama ikishinda mechi ijayo na isichukue ubingwa.

YWNWA....!
 
hivi imekuaje @Inzi wa manure aanzishe thread ya lieverpool? mods tafadhali majibu
 
hivi imekuaje @Inzi wa manure aanzishe thread ya lieverpool? mods tafadhali majibu

Kumbuka hili jukwaa lilianzishwa na mshabiki wa Arsenal Mbu baada ya kuona mashabiki wa Liverpool wako dormat,hakuna sheria ya kutochangia jukwaa lolote.Nakushauri utembelee majukwaa ya Chelsea,Arsenal ,Man United uone ushabiki hapa JF
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…