Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


sasa mkuu Kashengo kama unamweka ROONEY katka World Class players, utaweza vipi kumwacha GERRARD???
 
walk on... walk on.... YNWA

four games to go

swansea B aka chihuahua all the way
 
sasa mkuu Kashengo kama unamweka ROONEY katka World Class players, utaweza vipi kumwacha GERRARD???

He was a World class lakini sio sasa...ameshuka sio yule Steven Gerrard wa 2005...
 
Tume-concentrate kwenye FA kwanza...tuwakate kilimi media za UK kuhusu trophless. Ni mipango tu

Kabisa na kile kibabu kikisepa tugange yajayo...Bora tukose top 4 tuinvest kwa sana na tuchukue kombe..Tukirejea tunakuja kwa kishindo au siyo...

Ila je kizee kitasepa...maana ni mbushi hakuna...
 
Baba Kelvin haya matokeo ndio ninayoyataka Mimi chelsea Ili tarehe 27 nije nimchinje jogoo hapo hapo!

Mkuu swansea walikuwa 7 uwanjan wamekutoa jasho je BR utamweza kwel? Kumbuka sie sio kuku wa kienyeji ni majogoo pori yanayopaa kabisa tena yakiwa home huwa hayana upweke!!
 
Last edited by a moderator:
Kipofu kaona Mwezi! Ngoja Man u msimu ujao tunashusha nondo za World Cup wale best Kombe zote tutabeba

Dreams...!
Kwa hiyo wakati wewe unasajili timu zingine zitakuwa zimezubaa tu wanawaangalia nyie bila kusajili?
Pole...na kocha wenu huyo ambaye ni Football Genius?!
 
watu wewe!!!!

I loved every minute of first half..

second half pressure ikawa kubwa hadi nikaanza kupata kizunguzungu, Liverpool inabidi wajifunze jinsi ya kuretain possession na kutoshambulia kila saa ie inabidi tujifunze kupiga pasi za kupoteza muda, ili tukiwa 2-0 ahead tuweze kuwa kwenye cruise control...daah, yaani angalau tumeshinda. Hii mechi tungefungwa au draw baada ya kuwa 2-0 ahead ingetua motivation sana.. lakini kwa ajili tumeshinda basi hell yeah!!

Henderson- dah ile red card πŸ™

Lakini na yeye inaonekana alikuwa amechoka choka mechi zilizopita maana amecheza sana kwahiyo labda ni vizuri either Lucas/Allen/Aspas watachukua nafasi yake.

Daniel Sturridge has been awful for the last 3 games..kwahiyo sijui injury yake ni precaution au serious..either way, we can still use Suarez alone and be succesful.

Mungu awe nasi..bado mechi 4, blood pressure kubwa sana.

dah!
 

Nadhani Rodgers leo alitaka kuimalza game mapema, na tunaweza kusema alifanikiwa kwa hilo, coz mpaka HT tulikuwa tunaongoza 2-0

Asa kwa akili ya Chap chap kocha alitakiwa ajue kabisa kuwa Man city wataingia kwa kushambulia zaid, na walfanya hivyo, BR alitakiwa afanye sub ya mapema sana, kumtoa Strurridge ambae leo alikuwa mzgo na kuvuruga mipango mingi sana mbele pale, alitakiwa amwingze Allen au lucas, waje kubalance kiungo na kuretain possession mapema zaidi..

Henderson ni bonge la blow, game 3 anazikosa, na ninaweza nikasema ni mmoja kati ya wachezaj wetu muhimu saaaana msimu...

Well, nadhan tutarejea kuion partnership ya JA au Lucas na SG tena...

Tumepata 3pts

4 games to Go

Bado tupo Top of the League.
 
Wao waendelee kupiga majungu sisi tunachua point 3..jua linazama hatuna mda wa kuchezea.
 
Ruvu imenikatiri kuangalia chama langu likipigania ubingwa..nashukuru tumeshinda .Ynwa.
 

Kwa kweli mkuu hata mie kipindi cha pili kizunguzungu kilinizidia thanks philipo kwa kutumia vizur kosa la kompany!!
 
Wenzangu wameongea karibia maneno yote.Mimi sina cha kusema.
Ila kwa wale mashabiki wa chelsea,napenda kuwaambia kuwa mechi yetu inayofuata ni against Norwich City.
Baada ya mechi dhidi ya Norwich,nadhani hapo mashabiki wa Chelsea ndio mtapasawa kuongea yote mnayoyataka kuhusu mechi yetu dhidi yenu.
Point tatu ndio ushindi,We will never walk alone.
Liverpool till I die.

"​Nlikuwepo":bolt:
 
Jana Chelshit, pamoja na swansea kupata RedCard ya Mapema, walipata taaaaaaabu sana kushinda..

Afu still wanapga Mahesabu ya kuja kushinda ANFIELD.

Mawazo ya Plastic fans, yanakuwaga Mgando sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…