Tim bora sio haya bana waulize wenzio man u sasa hivi wanachagua hata aina ya mavazi ya kuvaa mpaka aina ya utembeaji nayo wamebadili kabisaa.
Chelsea itaporomoka na kuharibikia mikononi mwa morinyo stay tuned.
huyu jamaa alifurukuta kwa misim kadhaa ikawa hora no uefa akaja kocha mwingine msim 1 tu uefa likatua darajani.
sasa hivi na alivyochoka kimbinu mbona msim huu hakuna cha kombe la ligi sijui uefa au sahani yoyote ile .
nawazee wake anao wategemea wakina etoo
No 4 ni Arsenal tu!
Karibu sana mkuu...
Yani vita Bado iko palepale na sihami humu!
Yani ata km utachukua ubingwa Lkn Anfield lazima nije nikugonge!
na Everton jee MKUU??
coz wakishinda game ya Leo na zoote zilizobakia itakamata nafasi ya 4
najua unamaombi makal sn juu ya gemu ya leo..
Nashangaa Wenzako wanaanza kupanga gape ya point5 huku wanasahau tarehe 27 inarudi Kua mbili? Teh Teh Teh
MIKE DEAN katuuuuuwa wajameni! Teh Teh Teh Teh
najua unamaombi makal sn juu ya gemu ya leo..
kashindwa kujiombea Jana ataweza wapi kutuombea sisi bana
kwel man kwa atua hii ligi ilipofikia afu ukakutana na vitimu vinavyo taka shuka dalaja huwa haijalishi uko nyuma umekafunga mara ngap, mambo yana weza badilika kabisa...naomba leo tuanze kwa kasi gemu ya leo tuwachanganye madogoMkuu gemu ya leo ni muhimu sana ili tutengeneze gap la 5 points...then tar 27 vijana wanaingia Anfield wakiwa relaxed ili kumchinja mtu for good!
YNWA...!
poa we komaa na mike dean si ngoja tujiandae na gemu ya leo...af uwe umu ad siku tunanyenyua kwapa utusaidie kushangiliaYani sina ombi lolote lile kwasababu MIKE DEAN KATUONESHA KILE KILICHO JIFICHA!
Tare he 27 gap litakuwa point 8 ndugu yangu... yaani usahau kabisa kuchukua points pale Anfield!
poa we komaa na mike dean si ngoja tujiandae na gemu ya leo...af uwe umu ad siku tunanyenyua kwapa utusaidie kushangilia
Nashangaa Wenzako wanaanza kupanga gape ya point5 huku wanasahau tarehe 27 inarudi Kua mbili? Teh Teh Teh
MIKE DEAN katuuuuuwa wajameni! Teh Teh Teh Teh
Teh Teh teh
Mmenikimbia ktk thread yetu kule?
Nimewafata humu kwenu tuendeleee na mnankasha wetu! Teh Teh Teh Teh Teh
Ukiwa fans Wa Chelsea raha sn!