Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tim bora sio haya bana waulize wenzio man u sasa hivi wanachagua hata aina ya mavazi ya kuvaa mpaka aina ya utembeaji nayo wamebadili kabisaa.

Chelsea itaporomoka na kuharibikia mikononi mwa morinyo stay tuned.

huyu jamaa alifurukuta kwa misim kadhaa ikawa hora no uefa akaja kocha mwingine msim 1 tu uefa likatua darajani.

sasa hivi na alivyochoka kimbinu mbona msim huu hakuna cha kombe la ligi sijui uefa au sahani yoyote ile .
nawazee wake anao wategemea wakina etoo

Teh Teh Teh Teh Teh

Ucl lazima itue darajani Na vita na nyie Bado iko pale pale!
 
Nashangaa Wenzako wanaanza kupanga gape ya point5 huku wanasahau tarehe 27 inarudi Kua mbili? Teh Teh Teh

MIKE DEAN katuuuuuwa wajameni! Teh Teh Teh Teh

Tare he 27 gap litakuwa point 8 ndugu yangu... yaani usahau kabisa kuchukua points pale Anfield!
 
kashindwa kujiombea Jana ataweza wapi kutuombea sisi bana

Mkuu gemu ya leo ni muhimu sana ili tutengeneze gap la 5 points...then tar 27 vijana wanaingia Anfield wakiwa relaxed ili kumchinja mtu for good!

YNWA...!
 
Mkuu gemu ya leo ni muhimu sana ili tutengeneze gap la 5 points...then tar 27 vijana wanaingia Anfield wakiwa relaxed ili kumchinja mtu for good!

YNWA...!
kwel man kwa atua hii ligi ilipofikia afu ukakutana na vitimu vinavyo taka shuka dalaja huwa haijalishi uko nyuma umekafunga mara ngap, mambo yana weza badilika kabisa...naomba leo tuanze kwa kasi gemu ya leo tuwachanganye madogo
 
Yani sina ombi lolote lile kwasababu MIKE DEAN KATUONESHA KILE KILICHO JIFICHA!
poa we komaa na mike dean si ngoja tujiandae na gemu ya leo...af uwe umu ad siku tunanyenyua kwapa utusaidie kushangilia
 
duh,hii game ya leo yanaweza kutukuta yaliyowakuta chelsick jana,hv vitimu vinavyopigana kutoshuka daraja vinakaza sana sana wadau.
 
duh,hii game ya leo yanaweza kutukuta yaliyowakuta chelsick jana,hv vitimu vinavyopigana kutoshuka daraja vinakaza sana sana wadau.ikizingatiwa wachezaji wetu muhmu wa kikosi cha kwanza leo tunawakosa
 
duh,hii game ya leo yanaweza kutukuta yaliyowakuta chelsick jana,hv vitimu vinavyopigana kutoshuka daraja vinakaza sana sana wadau.ikizingatiwa wachezaji wetu muhmu wa kikosi cha kwanza leo tunawakosa.YNWA.
 
Teh Teh teh

Mmenikimbia ktk thread yetu kule?

Nimewafata humu kwenu tuendeleee na mnankasha wetu! Teh Teh Teh Teh Teh

Ukiwa fans Wa Chelsea raha sn!
 
poa we komaa na mike dean si ngoja tujiandae na gemu ya leo...af uwe umu ad siku tunanyenyua kwapa utusaidie kushangilia

Bilashaka ntakuwepo! Km utapata kombe ntakua hapa Kukupa Hongera! Na hapo tutaongea habari zingine!
 
Nashangaa Wenzako wanaanza kupanga gape ya point5 huku wanasahau tarehe 27 inarudi Kua mbili? Teh Teh Teh

MIKE DEAN katuuuuuwa wajameni! Teh Teh Teh Teh

Chelsea kushinda 27/04?? What a pipe-dream!!

Kwa hii defence nyanya ya Chelsea, tarehe 27/04 ubao FT utakuwa Liverpool 4-0 Chelsea. Waulizeni wenzenu wengine....
 
Teh Teh teh

Mmenikimbia ktk thread yetu kule?

Nimewafata humu kwenu tuendeleee na mnankasha wetu! Teh Teh Teh Teh Teh

Ukiwa fans Wa Chelsea raha sn!

Sahiv ni NORWICH CITY kwanza...
 
Back
Top Bottom