Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Tim bora sio haya bana waulize wenzio man u sasa hivi wanachagua hata aina ya mavazi ya kuvaa mpaka aina ya utembeaji nayo wamebadili kabisaa.
Chelsea itaporomoka na kuharibikia mikononi mwa morinyo stay tuned.
huyu jamaa alifurukuta kwa misim kadhaa ikawa hora no uefa akaja kocha mwingine msim 1 tu uefa likatua darajani.
sasa hivi na alivyochoka kimbinu mbona msim huu hakuna cha kombe la ligi sijui uefa au sahani yoyote ile .
nawazee wake anao wategemea wakina etoo
Teh Teh Teh Teh Teh
Ucl lazima itue darajani Na vita na nyie Bado iko pale pale!