LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,209
Usikate tamaa mkuu...hao jamaa bado wana kiporo kimoja. Wanaweza kung'ang'aniwa tu hata kwa droo moja then ikawa advantage kwetu.
Cha msingi tusipoteze gemu zetu...I mean hata moja! And with the current momentum tunaweza!
man city bado hajamalizana na Everton tena man city anamfuata kwao hii game city anaweza aka Lizwa ila kwa game zilivyobakia kuna game Hakika atadondokewa tuu.
ila mm naomba tu mungu game yetu na Chelsea tumfunge tukichukua 3 point kwa Chelsea hapo sasa kauli lugha na nyimbo ni 1 tuu ni kuuimbia ubingwa kwa nguvu zote.
mungu awe upande wetu aisee maana tukifungwa na Chelsea kerere zote za ubingwa na ndoto zitakuwa zimezimwa aisee