Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Usikate tamaa mkuu...hao jamaa bado wana kiporo kimoja. Wanaweza kung'ang'aniwa tu hata kwa droo moja then ikawa advantage kwetu.

Cha msingi tusipoteze gemu zetu...I mean hata moja! And with the current momentum tunaweza!

man city bado hajamalizana na Everton tena man city anamfuata kwao hii game city anaweza aka Lizwa ila kwa game zilivyobakia kuna game Hakika atadondokewa tuu.

ila mm naomba tu mungu game yetu na Chelsea tumfunge tukichukua 3 point kwa Chelsea hapo sasa kauli lugha na nyimbo ni 1 tuu ni kuuimbia ubingwa kwa nguvu zote.

mungu awe upande wetu aisee maana tukifungwa na Chelsea kerere zote za ubingwa na ndoto zitakuwa zimezimwa aisee
 
Great season... itakua bonus tukupata kombe but anything from now ni over-achievement tu
 
man city bado hajamalizana na Everton tena man city anamfuata kwao hii game city anaweza aka Lizwa ila kwa game zilivyobakia kuna game Hakika atadondokewa tuu.

ila mm naomba tu mungu game yetu na Chelsea tumfunge tukichukua 3 point kwa Chelsea hapo sasa kauli lugha na nyimbo ni 1 tuu ni kuuimbia ubingwa kwa nguvu zote.

mungu awe upande wetu aisee maana tukifungwa na Chelsea kerere zote za ubingwa na ndoto zitakuwa zimezimwa aisee

Mkuu me kwa sasa am very positive huu ubingwa ni wetu...tena tunauchukua kwa kumfunga Chelsea pale Anfield!

Gemu zote tunashinda tena kwa mbinde...but tutashinda!
 
Usikate tamaa mkuu...hao jamaa bado wana kiporo kimoja. Wanaweza kung'ang'aniwa tu hata kwa droo moja then ikawa advantage kwetu.

Cha msingi tusipoteze gemu zetu...I mean hata moja! And with the current momentum tunaweza!

kweli mkuu,hatutakiwi kupoteza game yeyote ile,tukipenya kwa chelsick tutakuwa na nafasi kubwa sana,ila kumfunga chelsky pia ni kazi ngumu! Lolote laweza kutokea kwenye mpira! Kama ipo,ipo tu.
 
Khe Khe Khe Khe

Tunatisha bhajameni! Mnakiri hazarani kwamba kuifunga Chelsea ni kz ngumu! Khe Khe Khe Khe

agosti 8 na Mentor njooni muone hawa bandugu WANAKIRI HAZARANI Chelsea hawawezi kuifunga!

MosDef Gwamahala Baba Kelvin @jawlaws

Tunakuja kumchinja jogoo hapo tarehe 27.
 
Last edited by a moderator:

siyo wote hapa ambao wanaona kuifunga Chelshit ni kazi KUBWA!!!'

Kila mtu ana mitazamo yake hapa!!!

Kwa mfano, mimi naona ni kazi nyepesi saaana kuifunga chelshit, ugumu unaokuja ni kwenye kuchagua idadi ya magoli ya kuwafunga ndugu Ntuzu..!
 
Khe Khe Khe Khe Khe

Ukweli mnaufahamu Vzr Ndio maana ndugu Yako huyo tena shabiki mkubwa Wa loserfool anakiri hazarani!
 
Khe Khe Khe Khe

Tunatisha bhajameni! Mnakiri hazarani kwamba kuifunga Chelsea ni kz ngumu! Khe Khe Khe Khe

agosti 8 na Mentor njooni muone hawa bandugu WANAKIRI HAZARANI Chelsea hawawezi kuifunga!

MosDef Gwamahala Baba Kelvin @jawlaws

Tunakuja kumchinja jogoo hapo tarehe 27.

Ndugu yangu... kumbe hujaelewa!
Sisi kila timu tunaizungumzia...ukifuatilia hata Norwich City tuliongelea jinsi tunavyoiogopa na ndo maana huwa tunafanya maandalizi ya kutosha hence USHINDI!

Rejea hata tulivyokuwa tunaijadili Man City... kilichotokea unakijua. The same will happen to you Chelsea!
 
Last edited by a moderator:
Khe Khe Khe Khe Khe

Ukweli mnaufahamu Vzr Ndio maana ndugu Yako huyo tena shabiki mkubwa Wa loserfool anakiri hazarani!

Mtu mmoja asikufanye ukadhani wote tunaogopa...I think you know moto tulionao and mind you pale ni Anfield siyo darajani!
 
Unajitetea! I think you know things never be the same dude!

Khe Khe Khe

Mnaijua timu yenu ni dhaifu Ndio maana Mnakiri Kua ni kz kuifunga Chelsea!
 
Mtu mmoja asikufanye ukadhani wote tunaogopa...I think you know moto tulionao and mind you pale ni Anfield siyo darajani!

Siku bendera za BLUE zikiwa juu pale anfield MOTO wenu siku itakua ni kutembea UPWEKE.

We are the team with special spirit!
 
I WONT SAY WE HAVE TO WIN, I WONT PUT THAT PRESSURE; BUT WE CAN'T LOSE. - jose mourinho felix.:boxing:
 
Mtu mmoja asikufanye ukadhani wote tunaogopa...I think you know moto tulionao and mind you pale ni Anfield siyo darajani!

2006 tulipokuwa safarini kuelekea kwenye ubingwa wetu mara ya 2 mfululizo; tulikuja ANFIELD tukachinja jogoo 4-1.
Mlilala mapema sana siku ile..
We're coming..ubaya ni kwamba pressure iko kwenu si kwetu..sisi tutacheza kuwafundisha heshima..UTII BILA SHURUTI. siku hiyo mtachanganyikiwa sana.:smile-big:
 
Ntuzu tukutane kule kwetu; maana hapa watakuja wale wanaotumia nguvu kuliko akili watakutukana.au umesahau?
Khe Khe Khe Khe Khe

Ukweli mnaufahamu Vzr Ndio maana ndugu Yako huyo tena shabiki mkubwa Wa loserfool anakiri hazarani!
 
Khe Khe Khe Khe Khe

Ukweli mnaufahamu Vzr Ndio maana ndugu Yako huyo tena shabiki mkubwa Wa loserfool anakiri hazarani!

offcourse mna wachezaji wazuri,lakini hamna timu nzuri! Man city wana wachezaji wazuri na timu nzuri! Sisi tuna timu nzuri sana! But when it comes to football,anything may happen! N thats why i was not suprised tulipowapiga man city iliyosheheni word class players! Anfield is the special place to play football! Nina hakika you are nt going to win this match! Naelewa ugumu wa match ndo mana nikasema wining this game will not be an easy task.karibu kwa upotoshaji zaidi.
#redordead #YNWA!
 
Back
Top Bottom