Chelsea mkimpania Suarez na Sturridge huyo hapa dogo janja atawaua
Niliwaambia kwamba nguvu wanazotumia kutudharau tutazitumia kuwaudhi humu jukwaani.
Walinitukana sana hapa..
lakini leo wanaona aibu ..najua wanapita kusoma komenti tu lakini hawana la kusema.
LIVERPOOL FC vijogoo
CHELSEA FC Simba wa Blue.
Mosdef yuko wapi jamani?:A S cry:
Mashabiki wengi wa Chelsea, hawataki kuadmit kuwa kuumia kwa Terry na Cech ni Big blow, syo tu kwa game ya liverpool bali hata kwa game ya ATM ambayo naona Mourinho amefocus sana huko..
Ujue kila team ina Key players wake, players ambao wakiwa uwanjan, wachezaji wenzake wanapata ile hali ya kujiamini kulingana na mchango wake husika, JT amekuwa mchezaj muhim sana chelshit msimu huu, Cech naye hivyohivyo, kutokuwepo kwa wachezaj hawa wawili tu, ingawa ni wachache sana kuna madhara sana kwa chelshit..
Gerrard alizikosa game mbili zote za kwanza dhid ya Man city na chelsea, na zote tulipoteza, na siyo kwamba tulizidiwa uwezo, lakini kuna mtu muhimu sana alikuwa anakosekana uwanjani, mtu wa kuwafanya kina Countinho, RS, LS na kina JH wajiamini na kucheza kwa muongozo imara zaid, ndo maana nakumbuka, Gerrard alisafiri na team kwenye game dhid ya Man city pamoja na kwamba alikuwa majeruhi!!!
So i hope ATM watatumia hilo pengo vizuri sana, manake Chelshit akiingia fainali, Roho itaniuma sana aisee!!!
Chelshit hawadeserve chochote kwa aina ya mpira wanaocheza!!
Mkuu nayakumbuka yote hayo! Na Km isingekua game ya Mike Dean kutunyonga ubingwa ulikua wetu!
Wasamehe bure wote Mkuu! Vitendo vimejionyesha venyewe uwanjani!
Kwa Muda huu nahisi kabisa maumivu ambayo wako nayo Hawa ndugu zetu! Taratibu watazaoe na watakuja hapa tujadiliane tena!
Ntuzu nimekuja tena, karibu anfield jumapili. Najua maumivu ya Terry na Cech yatakuwa sababu kwako pindi utakapopokea kichapo. Ila kubali kuwa point tatu unaziacha pale pale nyumbani.
Nilishasema tangu mwanzo,zile timu zote ambazo walitufunga game za mwanzo hizi zinazofata kwao ni vipigo tu,hasa kwa zile timu zilizonifunga katika viwanja vyao vya nyumbani. Alianza Arsenal kutufunga kwao bao 2, akaja kwetu goli tano zikamuhusu.
Man city nae alitufunga kimizengwe,alipokuja kitaa goli 3 zikamuhusu. Sasa ni chelsea waliotufunga kimizengwe wanakuja kitaa na majeruhi yao kuoga goli.
Mimi nipo ndugu yangu.
"Nlikuwepo":bolt:
yaani ndoto zao zimezimwa wameingia kibarua kingine.Mkuu Viol kawaida yetu sisi kuongea sn kabla ya game au baada ya game Km tumetoa sare au tumepoteza kwa mizengwe. Ndio huja kutoa sababu!
Lkn kwa matokeo Km ya Jana hatuna cha kuongezea Kwani Yale yote tuliyosema yametimia!
Ni hoja nyepesi tu sasaivi!
"Now we can say we won both matches against
the champions. If the champion is Liverpool, we
won both matches against Liverpool; if the
champion is Man City, we won both matches
against Man City."
Poa mkuu,kwanza jana unakumbuka tulinyimwa penati ila ya mkono?Mkuu Viol asatne kwa picha; lakini nakuomba ukaziweke kule kwetu CHELSEA FC thread.
Mkuu tumecheza tukiwa na majeruhu wengi!
Eto'o, Terry, Cech, Hazard Lkn tumecheza Vzr na tumeshinda! Tatizo ni timu kutegemea baadhi ya wachezaji! Kwahiyo WAKIWA hawapo timu inaboronga!
Chelsea wana mbinu kama za UKAWA!
No CechChelsea wana mbinu kama za UKAWA!
Poleni Sana wakuu BR anakwambia "there were probably two buses parked today" na statement ambayo imenikuna hii hapa aisee "Jose has got his result today credit to chelsea, ts the oposite of how we want to play. It's not difficult to coach 10 players in the 18 yard box."
Nilitaka nikusamehe lakini kwa komenti zako za kitoto kama hizi napata ujasiri wa kuendelea kukusumbua?
Umejificha wapi Mosdef?:A S 13:
CHELSEA FC ni kiboko yako..ukitaka ubingwa sasa chukua. Lakini LFC si bingwa kwa Chelsea ..onea hao watoto wenzako kina NORWICH..sisi ni kiboko yako. Sasa umehamia ATM?
🙂
No Cech
No Terry
No Oscar
No Ramires
No Hazard
No Eto'o
No problems.
Hahahaha hao wote hawapo,hivi walikuwa wanacheza na nani?
Poa mkuu,kwanza jana unakumbuka tulinyimwa penati ila ya mkono?
jana nilikuwa namwogopa sana yule refa,nadhani yangefanyika makosa madogo kwenye 18 za chelsea ingekuwa penati