Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Niliwaambia kwamba nguvu wanazotumia kutudharau tutazitumia kuwaudhi humu jukwaani.
Walinitukana sana hapa..
lakini leo wanaona aibu ..najua wanapita kusoma komenti tu lakini hawana la kusema.

LIVERPOOL FC vijogoo
CHELSEA FC Simba wa Blue.
Mosdef yuko wapi jamani?:A S cry:



Mkuu nayakumbuka yote hayo! Na Km isingekua game ya Mike Dean kutunyonga ubingwa ulikua wetu!

Wasamehe bure wote Mkuu! Vitendo vimejionyesha venyewe uwanjani!

Kwa Muda huu nahisi kabisa maumivu ambayo wako nayo Hawa ndugu zetu! Taratibu watazaoe na watakuja hapa tujadiliane tena!
 
Nilitaka nikusamehe lakini kwa komenti zako za kitoto kama hizi napata ujasiri wa kuendelea kukusumbua?
Umejificha wapi Mosdef?:A S 13:

CHELSEA FC ni kiboko yako..ukitaka ubingwa sasa chukua. Lakini LFC si bingwa kwa Chelsea ..onea hao watoto wenzako kina NORWICH..sisi ni kiboko yako. Sasa umehamia ATM?

🙂
Mashabiki wengi wa Chelsea, hawataki kuadmit kuwa kuumia kwa Terry na Cech ni Big blow, syo tu kwa game ya liverpool bali hata kwa game ya ATM ambayo naona Mourinho amefocus sana huko..

Ujue kila team ina Key players wake, players ambao wakiwa uwanjan, wachezaji wenzake wanapata ile hali ya kujiamini kulingana na mchango wake husika, JT amekuwa mchezaj muhim sana chelshit msimu huu, Cech naye hivyohivyo, kutokuwepo kwa wachezaj hawa wawili tu, ingawa ni wachache sana kuna madhara sana kwa chelshit..

Gerrard alizikosa game mbili zote za kwanza dhid ya Man city na chelsea, na zote tulipoteza, na siyo kwamba tulizidiwa uwezo, lakini kuna mtu muhimu sana alikuwa anakosekana uwanjani, mtu wa kuwafanya kina Countinho, RS, LS na kina JH wajiamini na kucheza kwa muongozo imara zaid, ndo maana nakumbuka, Gerrard alisafiri na team kwenye game dhid ya Man city pamoja na kwamba alikuwa majeruhi!!!

So i hope ATM watatumia hilo pengo vizuri sana, manake Chelshit akiingia fainali, Roho itaniuma sana aisee!!!

Chelshit hawadeserve chochote kwa aina ya mpira wanaocheza!!
 
Mkuu Ntuzu; wanahitaji kuomba 'radhi' wao wenyewe..maana huwa wakali sana hawa watu..Nafikiri unakuwa mwepesi wa kusahau..rudia kusoma komenti zao kwanza..kama ninavyofanya.

pamoja mkuu Ntuzu; ngoja tuwachangamshe kwanza.:smile-big:
Mkuu nayakumbuka yote hayo! Na Km isingekua game ya Mike Dean kutunyonga ubingwa ulikua wetu!

Wasamehe bure wote Mkuu! Vitendo vimejionyesha venyewe uwanjani!

Kwa Muda huu nahisi kabisa maumivu ambayo wako nayo Hawa ndugu zetu! Taratibu watazaoe na watakuja hapa tujadiliane tena!
 
Kombe tutawaachia; lakini pointi 3 kachukueni kwingine si kwa Chelsea FC.
Ntuzu nimekuja tena, karibu anfield jumapili. Najua maumivu ya Terry na Cech yatakuwa sababu kwako pindi utakapopokea kichapo. Ila kubali kuwa point tatu unaziacha pale pale nyumbani.

Nilishasema tangu mwanzo,zile timu zote ambazo walitufunga game za mwanzo hizi zinazofata kwao ni vipigo tu,hasa kwa zile timu zilizonifunga katika viwanja vyao vya nyumbani. Alianza Arsenal kutufunga kwao bao 2, akaja kwetu goli tano zikamuhusu.
Man city nae alitufunga kimizengwe,alipokuja kitaa goli 3 zikamuhusu. Sasa ni chelsea waliotufunga kimizengwe wanakuja kitaa na majeruhi yao kuoga goli.
Mimi nipo ndugu yangu.

"Nlikuwepo":bolt:


 
Mkuu Viol kawaida yetu sisi kuongea sn kabla ya game au baada ya game Km tumetoa sare au tumepoteza kwa mizengwe. Ndio huja kutoa sababu!

Lkn kwa matokeo Km ya Jana hatuna cha kuongezea Kwani Yale yote tuliyosema yametimia!

Ni hoja nyepesi tu sasaivi!
yaani ndoto zao zimezimwa wameingia kibarua kingine.
nadhani unakumbuka jana asubuhi nilicoment kule kwenye thread letu kwamba nimesoma magazeti mengi ya England seems morinho is playing mind games,wengi wanadhani chelsea watafungwa lakini usishangae ikawa suprise.
Walitamba humu nani alijua matokeo yatakuwa mengine?
kwanza nilipokuwa naangalia game ilipokuwa half time wengi wanasema bado liverpool watasawazisha na kushinda,mpaka dk ya 70 bado wanasema watashinda,matokeo yake wakaongezewa lingine
 
"Now we can say we won both matches against
the champions. If the champion is Liverpool, we
won both matches against Liverpool; if the
champion is Man City, we won both matches
against Man City."

that's the reality that cannot be denied by anybody, not even a twit.

but don't forget that Chelsea could also win the tilte as their hopes have been revived through this fantastic win.

Jose is a football genius.
 
Mkuu Viol asatne kwa picha; lakini nakuomba ukaziweke kule kwetu CHELSEA FC thread.
Poa mkuu,kwanza jana unakumbuka tulinyimwa penati ila ya mkono?
jana nilikuwa namwogopa sana yule refa,nadhani yangefanyika makosa madogo kwenye 18 za chelsea ingekuwa penati
 
Mkuu tumecheza tukiwa na majeruhu wengi!

Eto'o, Terry, Cech, Hazard Lkn tumecheza Vzr na tumeshinda! Tatizo ni timu kutegemea baadhi ya wachezaji! Kwahiyo WAKIWA hawapo timu inaboronga!

Chelsea wana mbinu kama za UKAWA!
 
article-2614427-1D69EB9200000578-170_964x347.jpg



article-0-1D67B3AF00000578-231_634x455.jpg


Chanting: Fans sing outside Anfield following Chelsea's 2-0 victory
over Liverpool on Sunday afternoon


article-0-1D67B1DE00000578-608_634x422.jpg


Scuffle: Supporters clashed after Liverpool fans reportedly took
exception to chants about Steven Gerrard



article-0-1D67B16B00000578-698_634x448.jpg


Ugly scenes: One fan appeared to throw a punch as scenes turned ugly outside Anfield





article-0-1D67B1CD00000578-506_634x422.jpg



Trouble: Police had to restrain fans after things got heated as fans left the stadium



article-0-1D67B13F00000578-22_634x409.jpg


Held back: Police act as a barricade as Liverpool fans sing and chant
outside the Anfield Road end of the stadium


article-0-1D67B15B00000578-391_634x422.jpg


Setback: Liverpool's title hopes took a severe dent as the Reds were beaten at home by Chelsea

What next?
 
Chelsea wana mbinu kama za UKAWA!
No Cech
No Terry
No Oscar
No Ramires
No Hazard
No Eto'o

No problems.


Hahahaha hao wote hawapo,hivi walikuwa wanacheza na nani?
 
Aisee...hii ipo wazi!
Chelsea-Champion league closely to be awarded.
Man City-Curling cup.
Liverpool-Closely on EPL
Arsenal-Final FA Champion! !
ManUre-Fighting for Europa
 
Poleni Sana wakuu BR anakwambia "there were probably two buses parked today" na statement ambayo imenikuna hii hapa aisee "Jose has got his result today credit to chelsea, ts the oposite of how we want to play. It's not difficult to coach 10 players in the 18 yard box."

but at the end of the day what matters is WINNING the match. the style of playing has nothing to do a team's success.
 
Nilitaka nikusamehe lakini kwa komenti zako za kitoto kama hizi napata ujasiri wa kuendelea kukusumbua?
Umejificha wapi Mosdef?:A S 13:

CHELSEA FC ni kiboko yako..ukitaka ubingwa sasa chukua. Lakini LFC si bingwa kwa Chelsea ..onea hao watoto wenzako kina NORWICH..sisi ni kiboko yako. Sasa umehamia ATM?

🙂



Mkuu hiyo post ya Mkuu MosDef niliipinga sn alipoileta na nikampangia Kikosi chetu!

Sasa nashangaa sn kuona wao wanalilia kwa kumkosa mtu mmoja HENDERSON. eti pengo lake limeonekana!

Ebu wajiulize ni wachezaji wangapi sisi walikua nje ambao ni wazuri na tegemezi kabisa ktk timu!?

Soon tutaanza kuwapa uzoefu akina Van Ginkel na Ake kwa future Zaidi! Kalas ametisha! Combinetion Yao Jana na Ivanovic ilikua imesimama sn! Hakuna cha Suarez au sijui nani!
 
Last edited by a moderator:
Wanamwita MARTIN ARTIKINSON

alikuwa ametuchukia tangu mwanzo, yule wa mezani ndo kabisaa. alikuwa anabishana na Mourinho kule kwenye benchi..

CHELSEA FC..kiboko yao.

CFC 2 - 1 LIVERPOOL.
LIVERPOOL 0 - 2 CFC.
CHELSEA 2 - 1 MAN CITY.
MAN CITY 0 - 1 CFC.
SPURS 1 - 1 CFC.
CHELSEA 4 - 0 SPURS.
ARSENAL 0 - 0 CFC.
CFC 6 - 0 ARSENAL
MAN UTD 0 - 0 CFC.
CFC 3 - 1 MAN UTD.

kuna mtu anatudai?🙂
Poa mkuu,kwanza jana unakumbuka tulinyimwa penati ila ya mkono?
jana nilikuwa namwogopa sana yule refa,nadhani yangefanyika makosa madogo kwenye 18 za chelsea ingekuwa penati
 
Back
Top Bottom