Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah aya Mkuu!!ila nawashauri hao KOPs huko TZ wasihairishe party maana before May 11. Chochote chaweza tokea, ndio maana FA hawajawakabidhi City kikombe sababu kuna game mbili mbeleni

MKUU pamoja sana tutapigana mpaka sekunde ya mwisho ya dk 180 zilizo bakia I hope lolote laweza tokea ubingwa bado upo wazi kwa Tim zote 2 kwetu na kwa man city

maana point zimekuwa sio dili tena kwenye Ligi ya uingereza but magoli ndio mpango mzimaa.
cops msikate tamaa
 
lineup,22.mignolet,2.johnson,38.flanagan,37.skirtel,17,sakho,8.gerald,21.lucas,24.allen,31.sterling,7.suarez,15.sturidge,sub 1.jones,12.moses,10.coutinho,9.aspas,5.agger,20.cissokho,4.toure
 
Mpira ni mchezo wa maajabu the gunners walipata label ya '' Asenane'' baada ya kuchezea kichapo cha bao 8 kutoka kwa Manure. Bado nusu saa naamini CP anaweza kuchezea nane- kavu halafu kesi ikamalizwa tar 11 hahahahahaha!
 
Duh! Sio rahisi hivyo ndugu yangu.
 
Mpira ni mchezo wa maajabu the gunners walipata label ya '' Asenane'' baada ya kuchezea kichapo cha bao 8 kutoka kwa Manure. Bado nusu saa naamini CP anaweza kuchezea nane- kavu halafu kesi ikamalizwa tar 11 hahahahahaha!

nakubaliana na wewe mkuu lolote laweza tokea ktk mpira, time will tell
 
nakubaliana na wewe mkuu lolote laweza tokea ktk mpira, time will tell

Nane ni nyingi sana aisee..!!
Pia usishangae mkafunga limoja tuu kama sio mechi kuisha bila kufungana au mbaya zaidi wakawapiga
 
Kichomi cha Pulis kimeanza, naona tunapelekwa puta!
 
hivi mechi ya leo tukishinda 7-0 then ya mwisho tukashinda 7-0 si tutakuwa mabingwa...I mean man city wao washinde goli moja moja mechi zake zote ...@3

let's pray COP'S

Hahahaha, hapa tuombee M.City ashindwe game moja sisi tushinde game zote zilizobaki hayo magoli ni ngumu kaka.
Hata hapa ktk hii game Liver wanatakiwa wawe smart sana kwa sababu C.Palace hawana la kupoteza watacheza normal bila pressure, Liver wana pressure ya kushinda tena goli nyingi.
Hilo ni tatizo kwa Liver
 
Mpira ni mchezo wa maajabu the gunners walipata label ya '' Asenane'' baada ya kuchezea kichapo cha bao 8 kutoka kwa Manure. Bado nusu saa naamini CP anaweza kuchezea nane- kavu halafu kesi ikamalizwa tar 11 hahahahahaha!

Si rahisi mkuu kushinda migoli mengi namna hio kwa Pulis, muhimu ni ushindi tu. Kwani si uliona Atletico alivofanywa jana wakati angeshinda angekua anatafuta point 1 out of 6. Lakini Real Madrid nae hakuweza kuitumia oppotunity ya kupoteza kwa atletico.
So, anything can happen. Muhimu kushinda hii game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…