Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kocha wa Liverpoolfc BRENDAN RODGERS ndiyo ameicost liverpool UBINGWA msimu huu. Period.

It sucks to be a Liverpool fan sometimes!!!

Liverpool ndiyo team pekee ambayo centre-Back wake world class walinaye kwenye Team anakaa Bench!!!
 
Mpira wa 70s sio wa leo jomba.

70's na leo nini kimebadilika boss??
Kuwa mshabiki wa mpira HALISI siyo unakwenda kujiuwa kama wenzetu. This's game ni furaha tuu au mpira wa siku hizi ni VITA??
 
Chelsick? Over my dead body!!!

Kimahesabu bado wana nafasi endapo City atapotea mechi zote 2 na chelsick atashinda mechi yake moja huku Liver akishindwa kufanya finishing na kupigwa mechi ya mwisho.

Hahahaaaa we babu kweli umezeeka vibaya
 
Kocha wa Liverpoolfc BRENDAN RODGERS ndiyo ameicost liverpool UBINGWA msimu huu. Period.

It sucks to be a Liverpool fan sometimes!!!

Liverpool ndiyo team pekee ambayo centre-Back wake world class walinaye kwenye Team anakaa Bench!!!

Kawe Kocha wewe itakuwa vizuri zaidi
 
We gonna win the league!!Tena kwa maajabu, maana City anapoteza kwa Aston Villa
 
Kocha wa Liverpoolfc BRENDAN RODGERS ndiyo ameicost liverpool UBINGWA msimu huu. Period.

It sucks to be a Liverpool fan sometimes!!!

Liverpool ndiyo team pekee ambayo centre-Back wake world class walinaye kwenye Team anakaa Bench!!!

Pole Mkuu!

Lkn Mlikua mnamsifia sn tu! Vp tena Leo BR kawa hivyo?
 
70's na leo nini kimebadilika boss??
Kuwa mshabiki wa mpira HALISI siyo unakwenda kujiuwa kama wenzetu. This's game ni furaha tuu au mpira wa siku hizi ni VITA??
Mpira wa sasa kuna tacticians wa ukweli zaidi na mpira umekua sana. Kuna tofauti kubwa kati ya timu kubwa na ndogo.
 
Kocha wa Liverpoolfc BRENDAN RODGERS ndiyo ameicost liverpool UBINGWA msimu huu. Period.

It sucks to be a Liverpool fan sometimes!!!

Liverpool ndiyo team pekee ambayo centre-Back wake world class walinaye kwenye Team anakaa Bench!!!
Nyie mnaweza kuona ni mabeki Mie bado siamini ni mabeki ni Middle za kati hakuna anayelala na mtu hakuna middle mwenyenguvu za ku tawala kati wakiwa nao LFC watu wakati wenyewe Nguvu na kupiga mashuti ya nje na kufyekafyeka kati basi mabeki hawatokuwa na tabu Brendan Rogers sio mbaya jamaa timu alipoirekebisha na yoyote anayeijuwa LFC anajuwa Rogers kaibadilisha uzuri Leo alipochemsha bado sijajuwa wapi ila Middle SG anacheza kwa ujuzi ni Handerson tu ambaye anaweza kuweka ubavu na mtu nakulala na mtu Kila mtu alisema City na Chelsea na United ndio watatowa ubingwa so City anahaki well done to City, Struridge nampenda as striker ila apende kutoa Pasi haraka naye tutaongea mpaka Keesho kila timu imefanya makosa yake ila wengine yamezidi naipenda LFC na nitaendelea kupenda LFC football Club na Mashabiki wenzangu Humu wa LFC na Wakipinzani na wapenda sana sasa mtanipata Kumbi za jamiiforum NBA au Dini mkimuhitaji Pazi hehehehe najuta kuwajua.
 
Mpira wa sasa kuna tacticians wa ukweli zaidi na mpira umekua sana. Kuna tofauti kubwa kati ya timu kubwa na ndogo.

Mpira ni ule ule ambao mchezaji anahitaji awe na B tatu (3) yaani Brain,Balance na Ball control kwisha. Mifumo ni ile ile 4-4-2,3-5-2,4-5-1,4-3-3 umemaliza.

Tofauti kati ya timu zinazoitwa kubwa na ndogo siyo mpira ni PESA,mimi binafsi sioni kingine.

Man city,Man utd, R.Madrid,Barca,Chelsea,Juve wote hawa wana kauli mbiu ya MONEY, POWER ,RESPECT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…