Coz, tumemaliza wa 2, so nilidhani tungekuwepo kwenye pot 2..
Nig' siyo kwamba siwezi kukutukana, lakini natambua mpaka umeweza kipost hicho kitu hapo, ni kwamba we ni mtu mzima na unajitambua, so nakulindia heshima yako!
Hunijui, Sikujui...Naomba tuheshimiane tafadhali!
samahan bro haya n mamipira 2.
nlijisahau kdogo.
hv 9cy day
Masherano arudi..
Pool itawachukua mida kutamba kama mwaka huu
liva oye
hatuna hizo salamu za ki-ccm humu! Huwa tunatumia Motto wa club,YNWA.
Duh,ndo tusharudi champions league hvyo,i wish tungekuwa na the great Rafa! Huyu BR hana experience kabisa na mashindano haya! Mzee wa Tournaments Benitez hapa ndo mahali pake,hata Madrid alikuwa anafumuliwa mpak goli nne kavu! Duh..
Hata mou alipoxhukua hakua na experienceDuh,ndo tusharudi champions league hvyo,i wish tungekuwa na the great Rafa! Huyu BR hana experience kabisa na mashindano haya! Mzee wa Tournaments Benitez hapa ndo mahali pake,hata Madrid alikuwa anafumuliwa mpak goli nne kavu! Duh..
MosDef,ushamuona Dunn plays? Yule dogo ni super talent! Juz kat hv nlikua naangalia game online ya kirafiki,dogo aliingia 80' akapiga goli matata sana! Ibe is superb,ana pace,speed na nguvu ila hajui kufunga! Dogo Suso has to be back,alberto apelekwe kwa loan sunderland,aspas ana miaka 26,mkopo haumfai,he should be sold,nimeona wanatu link na alex sanches,wishn iwe kweli,deal la Kono sijui liliishia wapi,