Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MosDef,namchukia ian aiye vby mno! Tangu aje pale hakuna mchezaji wa mana aliemleta! Unakumbuka yule MD wa benitez na KD? Alikuwa hatari kwenye transfers,kuanzia huyo agger,mascherano,alonso,suarez,hendo etc ndo aliwaleta.angalia january huyo mpuuzi ayre alichokifanya kwa Kono na Salah,angalia last summer kwa Diego kosta na Mkihtaryan,akatuletea vimeo watupu akina aspas
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wewe,Agger hapaswi kuondoka,tunahtaji strength in depth,agger ni world class CB,lakini akiondoka afu akawa replaced na mtu kama Eliakim Mangala,yule wa Porto,kwangu mimi itakuwa bora zaidi.
 
Nakubaliana na wewe,Agger hapaswi kuondoka,tunahtaji strength in depth,agger ni world class CB,lakini akiondoka afu akawa replaced na mtu kama Eliakim Mangala,yule wa Porto,kwangu mimi itakuwa bora zaidi.
Nasikia yupo kwenye Maongezi ya kupewa mkataba mnono Arsenal....
 

Hahahahah!!!

Akina Christian Purslow, alijiuzulu jamaa, ndo akachaguliwa Mr.Ayre, asa kipindi kile Liverpool walikuwa na Damien Comolli as "the director of football strategy"..Na jamaa ndo aliyehusika na Signings zote za kina Suarez, Carrol, Henderson, Adams, Enrique na wengineo, Baada ya kuondoka 2012 na kumuacha peke yake Director wetu Ayre, ndo tabu ilipoanza hapo..Ian Ayre hakuna chochote cha maana alichokufanya katika usajili tangu mwaka 2012..bila ya BR mwnyw kuforce sidhani kama tungekuwa hata na kina Coutinho sahiv..Jamaa ni mzembe sana!!!!

Dah!!!..Damien Comolli angebak mpk sahv, Targets zote za Rodgers tangu atue #LFC tungezipata.. Diego Costa, MK, Salah, Kono, Willian, Muniain na wengine kibaooo!!!!

Tatzo bwana Ayre ni mzembeeee, Mfano mdogo ni hii ishu ya Lallana...
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wewe,Agger hapaswi kuondoka,tunahtaji strength in depth,agger ni world class CB,lakini akiondoka afu akawa replaced na mtu kama Eliakim Mangala,yule wa Porto,kwangu mimi itakuwa bora zaidi.

Cha ajabu, #LiverpoolEcho wanareport kuwa Lovren wa Southampton ndo our Top CB target..

Inashangaza saaaana!!!!!
 
Nasikia yupo kwenye Maongezi ya kupewa mkataba mnono Arsenal....

we unadhani wanasajili kihuni kama usajili wenu bongo? Agger ana mkataba bdo na LFC. Sio free agent,labda Arsenal ndo wapo kwenye mazungumzo na LFC kumnunua.kwanza tangu lini arsenal ikawa na mkataba mnono?
 
unamuuza Agger unamnunua lovren? Hii itakuwa miujiza.

Kiukweli, Sidhani kama ana furaha tena sahiv pale merseyside, Na nahisi atakuwa anajuta kwanini aliikataa ile offer ya Barcelona kipind kile!!!!

Stats zinaonyesha kabisa, kuwa Kuwepo kwake uwanjani ndo kumeleta clean sheet zote za msimu huu!!!!!..
 
ki ukweli Ian Ayre ni mzuri katika busness lakin kwenye usajil hawez, amefanya mambo makubwa kibiashara lakin si kwenye usajil.
 
unamuuza Agger unamnunua lovren? Hii itakuwa miujiza.

Afu, huyo Lovren ilikuwa wamsajili Last year kabla hajaenda Southampton, Liverpool wakapiga chini, jamaa akaenda S'mpton, alikuwa anauzwa £8million tu, Sahiv kama Liverpool wakitaka kumsajili lazma iwatoke £15million..

Mr. Ayre na transfer comitee yake yote ni Upuuzi mtupu!!!!!..
 
ki ukweli Ian Ayre ni mzuri katika busness lakin kwenye usajil hawez, amefanya mambo makubwa kibiashara lakin si kwenye usajil.

YAP..Spot on Mate..

Jamaa ni mzuuuuuri sana kwenye Biashara..Tena saana!!!!na ndo ilikuwa kazi yake hiyo tangu mwaka 2007 as Commercial director na badae kuja kupewa umanaging director..Ndiye alyelitengeza lile deal la shirt sponsorship kwa hawa standard chartered bank, na INAAMIKA ndiyo the most profitable deal katika Shirt sponsorship kwenye football mpaka sasa!!!!

Lakini sasaaaa, Huku kwenye transfer Market, jamaa hakuwezi kabisaaa!..na hii kitu inaicost sana Liverpool..Jamaa hana negotiations skills katika suala nzima la usajili wa wachezaji!!!!..
 

nimeona mahali leo Manure wanamtaka Kono.usishangae kumuona Kono pale OT next season,huyo ndo Ian Ayre ndugu! Hana habari.
 
nimeona mahali leo Manure wanamtaka Kono.usishangae kumuona Kono pale OT next season,huyo ndo Ian Ayre ndugu! Hana habari.

Anaweza akaenda Manure wakiwa serious, Manake naona Liverpool wameizima deal yake..Zikishindikana deals zingne ndo wanamkimbilia..
 
Anaweza akaenda Manure wakiwa serious, Manake naona Liverpool wameizima deal yake..Zikishindikana deals zingne ndo wanamkimbilia..

nilikua natafakari hapa ishu ya agger,na mwsho nimegundua kama BR alikuwa anafanya man management kama kawaida yake na nimempa kudos! Unajua ipoje,agger(Denmark) haishiriki WC mwaka huu,Sakho alikuwa injured kipindi kirefu nje,alichokuwa anafanya BR ni kumpa sakho nafasi ili apate nafasi ya kuretain chance yake kwenye national team yake aende WC.
 

Inawezekana!

Lakini kwangu sidhani kabisa, ukweli ulio wazi ni kwamba BR siyo fan wa Agger, I mean hauwezi ukamweka Bench Centre-Back anayekupa Clean Sheet mara kwa mara, kwa ajili ya kumpa nafasi mtu mwingne ambaye hana msaada mkubwa kwenye back-line kisa tu akacheze WC, na vyovyote vile kwa manager wa Club, ni lazima afikirie mafanikio zaidi ya Club kwanza kuliko faida za mchezaji mmoja mmoja na hasa kwenye hayo mambo ya Team za taifa..Na ukizingatia team ilikuwa katka Competition ya League title..so kipaumbele ni lazima kiwe manufaa ya club kwanza..

Na #Echo are saying #LFC will listen offers mbali mbali kwa clubs zinazomtaka Agger!!!

Jamaa anaweza akaondoka!!!
 

Sidhani kama kocha anaweza akampa favour mchezaji wakati timu yake inafungwa,Sakho bado hajazoea EPL na Agger ni mzuri kuliko Sakho nimesoma jamaa analalamika sana kitendo cha kuwekwa benchi
 
BR anatizamia zaidi ulinzi kwa sasa, na hilo halina mjadala mana foward iko sawa ila beki hamna kitu.
Gazeti la LIVERPOOL ECHO limeandika. BR anawafatilia captain wa cardiff city steven caulker (defender) na goalkeeper wa swansea city michel vorm.
 
yani timu ye2 kwa sasa inahitaji multifunctional players kama ni CB basi awe anauwezo wa kucheza kama holding midfilder,in addition liverpool ye2 imekua linked na wachezaj wanne kutoka barca nao ni christian tello,alexis,pedro na mascherano kwangu mimi naona 2mrudishe mascherano kwa 7bu ana uwezo wakucheza position nyngy tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…