The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Kumbuka huyo Sturridge ama Suarez kuna muda wataumia then nani ata-take over?
Lazima kuwe na attacking options nyingi na sio kuwa na SAS tu inakuwa ni rahisi kwa timu pinzani kujua game plan yenu. Angalia bench la MCity. Lazima tujifunze kwa Pellegrini na sio kung'ang'ania SAS tu
Kipindi hiki ni udaku tu ili watu kuuza magazeti. Kuna moja nimeona Xavi, Pastore, Can, DiMaria eti kutua Anfield.Ukifuatilia hizo rumours utaumia kichwa,so far nimeshasikia Liverpool inataka kuwasajili Adam Lalana,Jay Rodriguez,Rickie Lambert,Albelto Moreno,Dejan Lovren,Alexis Sanchez,Shaqiri,Emre Can,Pedro na wengineo
Kumbuka huyo Sturridge ama Suarez kuna muda wataumia then nani ata-take over?
Lazima kuwe na attacking options nyingi na sio kuwa na SAS tu inakuwa ni rahisi kwa timu pinzani kujua game plan yenu. Angalia bench la MCity. Lazima tujifunze kwa Pellegrini na sio kung'ang'ania SAS tu
Waletwe back up strikers wa maana na sio magarasa sijui akina Borini na Lambert etc.well said mkuu,hapa ndo hoja yangu ya kuhitaji backup striker wa maana inapokuja.sio kina Lambert hawa.
Borini ni garasa auzwe.Fabio Borini unamwacha wapi??
Je, Loic Remy atakubali kuja kuwa backUp pale LFC, atakubali kuja kukaa bench pale LFC, au kucheza game 5 au 6 season nzima, au mpaka asubiri Sturridge aumie ndo acheze..kwa umri na kiwango cha Remy hawez kukubali kuja kukaa Bench!!
Daniel Agger msimu ulioisha ameanza game 16, ukiachana na Zile ambazo ametokea bench, lakini juzi hapa tumeona wote hapa, Agger akilalamika kuwa third choice na mpaka kufikia hatua ya kuiomba club isikilize offer kutoka clubs nyingne.
Remy, bony au Sanchez hawawez kukubali kuja kuwa BackUp strikers hata iweje, Ikiwa tu Iago Aspas analalamika kupata nafas ndogo ya kucheza itakuwa kwa Remy..??
Borini ni garasa auzwe.
Ukisema nani akae bench, umeliona bench la Pellegrini?
Waletwe back up strikers wa maana na sio magarasa sijui akina Borini na Lambert etc.
Katikati wawepo watu wa kumsaidia Coutinho kama vile Can, Lallana, Ross Barkley etc.
Kule nyuma nako beki wasafishe i.e. Johnson, Sakho, Toure, Sissoko, Enrique wauzwe au wawe released.
Huyu Mignolet pia anatakiwa atafutiwe kipa mzuri wa kumtia pressure simwamini
Mlete Sanchez. Diamond formation itabadilika. Sanchez atacheza katikati, Suarez wide kulia na sturridge wide kushoto.Jaribu kutofautisha kati ya Policy ya Liverpool na Man city!!
Negredo analipwa £75,000 per week, Jovetic analipwa £80,000 per week, Jovetic alinunuliwa £25mill na Negredo ni £20mill, so unadhani BR anaweza akanunua wachezaj wa ghali na mishahara mikubwa kama BackUP..??
Kama unamsajili Sanchez ambaye, release clause yake ni around £20mill unategemea aje kucheza moja kwa moja kwenye First team syo kama BackUp, ukimchukua Sanchez kuja Liverpool ni lazima Sturridge akae Bench., so hapo cha kuzingatia ni je, BR atakubali kufanya biashara ya namna hiyo??
Na suala la Lambert ni kama kuisoften deal ya lallana na Lovren ambao wote tunawahitaji toka So'ton, Nadhani Articles mbalimbali zimeshaandika kuhusu hyo ishu!!
mkuu una agenda ya kuifanya Liverpool kuwa a mid-table team again?sio vema kuifumua timu nzima,akija moreno flanagan anahamia kule kwa johson,kati anacheza gerald na can,center backs skirtel na lovren,au sakho,kule mbele kotinyo,lallana na sterling,na forwad sas.hendo mbona kama anapotea? Kitu ambacho sidhani BR atakikubali
Mlete Sanchez. Diamond formation itabadilika. Sanchez atacheza katikati, Suarez wide kulia na sturridge wide kushoto.
Sioni tazizo na wote wataanza.
Kama unaweza kumnunua Charlie Adam for 20 million GBP, Downing for the same amount then tatizo liko wapi ukimlteta Sanchez hata for 30m?
Nakubaliana na mawazo yako lakini bench letu linatakiwa litishe. Yaani atakaeanza moto na atakaeingia kama sub moto.Adams na Downing, zote zilikuwa ni deals za Daglish, nadhan uliona alivyokuja BR, Adams aliondoka mapema sana, akifuatiwa na downing, utainadilisha vipi diamond formation wakati una Lallana & shaqiri (kama wakija), na pia una Raheem sterling, What BR needed tangu mwanzo ni winger, ndo maana we tried to sign Willian, Salah, Konoplyanka na MK, and now we're strong linked na Shaqiri and Pedro ambao wote ni natural wings, Nadhani kama BR alivyosema kwny game yetu na Chelsea Kwamba we needed something ili kuibadilisha ile game, na ukaja kuona jinsi ATM walivyotumi winger (turan and Co) kuwafunga Chelsea..
Nakubaliana na mawazo yako lakini bench letu linatakiwa litishe. Yaani atakaeanza moto na atakaeingia kama sub moto.
Bila ya kuwa na benchi la kutisha tutaishia kunawa tu lakini hatuli.
Hao uliowataja wote wakitua Anfield, mambo yatakuwa shwari.Bench litatisha tu,
Kama tukifanikiwa kuwasajili kina Lallana, Lovren, Shaqiri, Pedro na Can..hopefull tutakuwa na strong Bench aisee!!!..
Hao uliowataja wote wakitua Anfield, mambo yatakuwa shwari.
Ila kule nyuma bado ni mzigo.
Unaonaje Pepe Reina akirudi?
Huyu Mignolet sio kipa mzuriKuhusu Reina, NO, ukizingatia we've been linked na Vorm wa Swansea, na whats interesting ni kwamba Swansea washacomplete deal ya fabiansk kutoka Arsenal!!
Nadhan, if the rumours are true, Michael Vorm anaweza kuwa backUp nzuri kwa Mignolet..
Hao uliowataja wote wakitua Anfield, mambo yatakuwa shwari.
Ila kule nyuma bado ni mzigo.
Unaonaje Pepe Reina akirudi?
Huyu Mignolet sio kipa mzuri
Ben Smith saying medical on Saturday before he flies to Miami with England on Sunday. England play tomorrow night as well. (re: Lambert
A good deal for just 4ml plus add ons if its true