The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Kumbuka huyo Sturridge ama Suarez kuna muda wataumia then nani ata-take over?
Lazima kuwe na attacking options nyingi na sio kuwa na SAS tu inakuwa ni rahisi kwa timu pinzani kujua game plan yenu. Angalia bench la MCity. Lazima tujifunze kwa Pellegrini na sio kung'ang'ania SAS tu
well said mkuu,hapa ndo hoja yangu ya kuhitaji backup striker wa maana inapokuja.sio kina Lambert hawa.