Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Umesema sera ya FSG sio kusajili wazee hao niliokutajia ni vijana?

Siwezi kukaa kimya kama unaongea uongo,hakuna timu ambayo ina sera ya kusajili wachezaji wasio na vipaji

mkuu Belo,sijajipanga kubishana na wewe juu ya hili,ila nirudie tena,FSG wana sera yao katika usajili,hata wewe ukichunguza kwa makini utaona wachezaji wa umri gani wanasajili pale LFC tangu aje BR,lakini kama wewe ni mtu wa mpira,utakuwa unaelewa umuhimu wa kuwa na experienced players kwenye timu,hasa kama LFC yenye watoto wengi,Kolo alisajiliwa kumreplace Carragher,Lambert ni backup player na ni experienced, 3rd au 4th striker,nipo busy,nikipata muda ntakuelewesha vizuri
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Pazi ushawahi kumuona Moreno akicheza?..manake nimeshitushwa na wewe kumuhitaji zaid Ashley Cole dhidi ya Moreno..Moreno ni mmoja kati ya LB's vijana wazuri zaidi wanaokuja kwa kasi katika European football, thanx kwa Coentrao kwa kuonesha kiwango cha juu mwishon mwa msimu huu ulioisha mpaka kuishawishi madrid impe mkataba mpya na kuachana na Moreno (tungemkosa), madrid walishaongea na Seville tangu March kuhusu upatikanaji wa dogo, and thanx kwa UEFA, kwa kuwabana Man city kidogo kwenye usajili, coz nao walikuwa wanamtaka pia!!!

Moja kati ya signings muhimu ambayo tutakuwa tumeifanya msimu huu, basi ni ya kumsajili ALBERTO MORENO..

uchezaji wa Emre Can, kwenye middle ya kati, hauna tofauti yoyote na ule wa Alex Song..

Sidhani kama Mascherano anahitajika pale Liverpool..He's just like Torres, wote ni C*nts..
 
Last edited by a moderator:
Jamani akina MosDef mbona simsikii kabisa kuhusu kiungo huyu toka Ukraine tuliye mkosa kipindi kile?

Skrtel atacheza na nani?Na Agger?Maana Sakho na Skrtel wakicheza pamoja hatuwahi kinda clean sheet!
 
Last edited by a moderator:
Jamani akina MosDef mbona simsikii kabisa kuhusu kiungo huyu toka Ukraine tuliye mkosa kipindi kile?

Skrtel atacheza na nani?Na Agger?Maana Sakho na Skrtel wakicheza pamoja hatuwahi kinda clean sheet!
Yule Kolopyonka sijui ah jamaa nasikia Mwenye ile timu anachuki na LFC mwenye timu anayoichezea anachuki zake binafsi na timu ya LFC toka zamani so hataki kufanya Business nao nao inaonyesha LFC hawataki tena kuumiza kichwa ila Agency wake April alikuwepo Anfield Sema mwenye timu roho ya korosho na anaonyesha anapesa, Agger nasikia anaweza kuuzwa au a kabaki ila mpaka sasa Usajili sijafurahi mpaka nione beki Lovren na Middle ya kinyama.
 

Can yupo poa mkuu,ni middle nzuri tu ndugu yangu pazi.
 
Jamani akina MosDef mbona simsikii kabisa kuhusu kiungo huyu toka Ukraine tuliye mkosa kipindi kile?

Skrtel atacheza na nani?Na Agger?Maana Sakho na Skrtel wakicheza pamoja hatuwahi kinda clean sheet!

Baada ya Kushindwa kumalizana na Dinipro ile january, Liverpool wamepunguza Interest kwa jamaa, Nadhani BR anajaribu kutafuta targets za maana zahiv,(shaqiri/pedro) kama rumours zinavyosuggest, Ishu ya UCL inafanya Club iwe na Options nyingi sana katika usajili, nadhan ulipita mda mrefu saaaana, Liverpool kuwa linked na wachezaji wazuri kama inavyotokea mwaka huu (sanchez, shaqiri, Pedro, fabregas, Martinez, Muller) na wengineo, So kwa mpango huo usajili wa Konoplyanka unakuwa very unlikely kutokea!! ingawa inasemekana Tunaweza tukafanya a late move, baadae august..

James pearce na Ben smith, wanadai Dejan Lovren ndo our top CB target kwenye usajili wa mwaka huu, Nadhani Kama akija, atacheza na Sakho katikati pale kama pundits wengi wanavyosuggest..
 
Last edited by a moderator:
Source :metro...dil ya moreno tayar kwa p 18m..next wik dogo anakuja mjin kupimwa afya....I HOPE it'z tru.
 
Tar 10 august.....baada ya miaka 13
 

Attachments

  • 9649__7155__dortmund517.jpg
    34 KB · Views: 73
BR atawasha Moto CL league nxt season sijui nani atakaeuzima aiseeee
 
tukifanikiwa kufunika mashimo kwenye beki,we will have the magnificent season

Mkuu ni sawa ila kwa Upande wangu naona Beki tulizonazo ni bora kupita maelezo sema tu tatizo lililoleta kuonekana kua mbovu ni kutokucheza pamoja muda mrefu na kua na partnership nzuri tu ya maana bhaaaasssiiii.
 
Mkuu ni sawa ila kwa Upande wangu naona Beki tulizonazo ni bora kupita maelezo sema tu tatizo lililoleta kuonekana kua mbovu ni kutokucheza pamoja muda mrefu na kua na partnership nzuri tu ya maana bhaaaasssiiii.

pia kukosa defensive cover nzuri kwenye mid area,gerald co mzuri defensively,ni mzuri ofensively,ndo maana unaona wamekomaa kumsajili lalana,make ni mzuri kwenye kuzuia pia.
 
Moreno yupo England hadi sasa na anaweza akasaini leo ila official anouncement itakuwa jumatano kesho kutwa!!
 
Kijana naona uko happy sana. Hongera
Hehehehe namna alivyosema ni kweli yupo happy Mie fur aha yangu mpaka ni muone Lovren wa Crotia jamaa namuaminia atawapa sana tabu Brazil kushinda ufunguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…