The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Umesema sera ya FSG sio kusajili wazee hao niliokutajia ni vijana?
Siwezi kukaa kimya kama unaongea uongo,hakuna timu ambayo ina sera ya kusajili wachezaji wasio na vipaji
mkuu Belo,sijajipanga kubishana na wewe juu ya hili,ila nirudie tena,FSG wana sera yao katika usajili,hata wewe ukichunguza kwa makini utaona wachezaji wa umri gani wanasajili pale LFC tangu aje BR,lakini kama wewe ni mtu wa mpira,utakuwa unaelewa umuhimu wa kuwa na experienced players kwenye timu,hasa kama LFC yenye watoto wengi,Kolo alisajiliwa kumreplace Carragher,Lambert ni backup player na ni experienced, 3rd au 4th striker,nipo busy,nikipata muda ntakuelewesha vizuri
Last edited by a moderator: