The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
And, it seems, deal ya Divock origi pia, yule dogo wa Lille, anayechezea belgium (national team) now, inakaribia kukamilika.
FEE ni £6, atakuwa loaned back to lille, kwa msimu mzima ujao.
Mie nimemuona game Kama nne tu moja na Porto nyengine zilikuwa Uefa games jamaa ni mkali sana pia nilimuona timu yake ya Taifa na Brazil Kabla hawajacheza na Crotia timu ya Brazil ilicheza nao jamaa kwa game nilizoona Ana akili ya mpira nitafurahi Kama kweli kuliko Lallana.Tony Barret anasema #LFC wanataka kumsajili Lazar Markovic wa Benfica..
Huyu jamaa sijawahi kumuona akicheza, na sipendi kufatilia Skills zake kwenye youtube..coz huwa wanachukua mambo mazuri tu, au kushine kwake katka match mbili tatu.
so kama kuna mtu ashawahi kumuona, atusaidie kumuelezea..
cc. Pazi the magificent osokonoi Janjaweed Gwamahala Blac kid Ed n Edd nEddy The Boss na mkuu Belo..kama kuna mtu kishamuona jamaa akicheza mara kwa mara, atusaidie hapa tumjue vizuri.
Tony Barret anasema #LFC wanataka kumsajili Lazar Markovic wa Benfica..
Huyu jamaa sijawahi kumuona akicheza, na sipendi kufatilia Skills zake kwenye youtube..coz huwa wanachukua mambo mazuri tu, au kushine kwake katka match mbili tatu.
so kama kuna mtu ashawahi kumuona, atusaidie kumuelezea..
cc. Pazi the magificent osokonoi Janjaweed Gwamahala Blac kid Ed n Edd nEddy The Boss na mkuu Belo..kama kuna mtu kishamuona jamaa akicheza mara kwa mara, atusaidie hapa tumjue vizuri.
Na bila beki ubingwa ndoto
nani? Wanyama? You must be joking mkuu! Wanyama hafai kucheza hata sunderland,hana discipline,hana consistency,injury prone! Etc etc.
i think anadraft kumuuza coutinho, otherwise haiwezekani kuwa na akina sanchez, lallana, allen, stterling, shaqiri, lazar etcSanchez,Shaqhiri,Lazar,Lallana kweli inakuja akilini? Rogers atachezesha vipi? Nafikiri Shaqhiri pia haifai kuja kupoteza tena pesa wakati Lallana kashakuja bora Sanchez anaweza Striker kucheza ila Lazar uwezo upo sababu anacheza Middle kati Sanchez na Pedro ndio itakuwa Sign ya maana kwa timu na Mabeki. Rogers afikirie mabeki na Middle zinaofunuafunua mtu nilisikitika kumkosa Reges Octopus Yule wa Porto kaenda Man City. Lallana sijui 25m then Shaqhiri 15 mmoja atakaa Bench bado haipo akilini.
nilimcheki kwenye youtube, he is sensational (ila hana nguvu) but i think Luis Alberto can do all what Markovic can do... tulichokosa kwa Luis Alberto ni opportunity... which was given to Flano and Raheem
i think anadraft kumuuza coutinho, otherwise haiwezekani kuwa na akina sanchez, lallana, allen, stterling, shaqiri, lazar etc
maybe shaqiri awe winger tu
akina borini, etc naona ndio baibai tena
Hivi ishu ya Moreno imefikia wapi wadau????????
he is too expensive... labda wakishauza suarez
Hivi ishu ya Moreno imefikia wapi wadau????????
Liverpool have not given up hope of signing Alberto Moreno from Sevilla – Tony Barrett, The Times. 28/06/2014Hivi ishu ya Moreno imefikia wapi wadau????????
Hapo sawa, but we need a scorer sturridge alone atatusumbua... Kuchwa chake sio kizuriSpanish media zimeandika sana juu ya BARCA kuwa tayari kulipa $60M plus Sanchez....!!!
wanyama mzuri sana, and very effective, ni type ya sulley muntari adn you need that kind of player hasa unapokua bullied and the likes of stoke, man city, chelsea etc.
ila yuko injury prone na nadhani ule ukenya pia ni factor
all he needs ni manager
i think anadraft kumuuza coutinho, otherwise haiwezekani kuwa na akina sanchez, lallana, allen, stterling, shaqiri, lazar etc
maybe shaqiri awe winger tu
akina borini, etc naona ndio baibai tena
Exactly my point...tukizubaa morinyo atambeba..
i think tulikosa leadership zaidi kwenye defence kuliko beki... SG is not a holding midfielder but he is being transitioned there. if Enrique is fit, and we sell Glen JOhnson to get two fast wingbacks, plus flanno, tunaweza kuwa poa
if they sell Agger then surely wanaleta sub ya Skertel becuase Sakho will take Agger position and Skertel replacement bado hajapatikana, so kuna haja ya kuwa na beki wa kujaribu kabla ya kuuza skertel
personally ningependa sana agger abaki ila skertel ndio auzwe, agger can play even number 3 au namba sita