Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

And, it seems, deal ya Divock origi pia, yule dogo wa Lille, anayechezea belgium (national team) now, inakaribia kukamilika.

FEE ni £6, atakuwa loaned back to lille, kwa msimu mzima ujao.

naona deal ya shaqiri ndo next kwa lalana! BR hana mpango wa beki aisee! Ha ha ha ha ha
 
Tony Barret anasema #LFC wanataka kumsajili Lazar Markovic wa Benfica..

Huyu jamaa sijawahi kumuona akicheza, na sipendi kufatilia Skills zake kwenye youtube..coz huwa wanachukua mambo mazuri tu, au kushine kwake katka match mbili tatu.

so kama kuna mtu ashawahi kumuona, atusaidie kumuelezea..
cc. Pazi the magificent osokonoi Janjaweed Gwamahala Blac kid Ed n Edd nEddy The Boss na mkuu Belo..kama kuna mtu kishamuona jamaa akicheza mara kwa mara, atusaidie hapa tumjue vizuri.
Mie nimemuona game Kama nne tu moja na Porto nyengine zilikuwa Uefa games jamaa ni mkali sana pia nilimuona timu yake ya Taifa na Brazil Kabla hawajacheza na Crotia timu ya Brazil ilicheza nao jamaa kwa game nilizoona Ana akili ya mpira nitafurahi Kama kweli kuliko Lallana.
 
Tony Barret anasema #LFC wanataka kumsajili Lazar Markovic wa Benfica..

Huyu jamaa sijawahi kumuona akicheza, na sipendi kufatilia Skills zake kwenye youtube..coz huwa wanachukua mambo mazuri tu, au kushine kwake katka match mbili tatu.

so kama kuna mtu ashawahi kumuona, atusaidie kumuelezea..
cc. Pazi the magificent osokonoi Janjaweed Gwamahala Blac kid Ed n Edd nEddy The Boss na mkuu Belo..kama kuna mtu kishamuona jamaa akicheza mara kwa mara, atusaidie hapa tumjue vizuri.

nilimcheki kwenye youtube, he is sensational (ila hana nguvu) but i think Luis Alberto can do all what Markovic can do... tulichokosa kwa Luis Alberto ni opportunity... which was given to Flano and Raheem
 
Na bila beki ubingwa ndoto

i think tulikosa leadership zaidi kwenye defence kuliko beki... SG is not a holding midfielder but he is being transitioned there. if Enrique is fit, and we sell Glen JOhnson to get two fast wingbacks, plus flanno, tunaweza kuwa poa

if they sell Agger then surely wanaleta sub ya Skertel becuase Sakho will take Agger position and Skertel replacement bado hajapatikana, so kuna haja ya kuwa na beki wa kujaribu kabla ya kuuza skertel

personally ningependa sana agger abaki ila skertel ndio auzwe, agger can play even number 3 au namba sita
 
Sanchez,Shaqhiri,Lazar,Lallana kweli inakuja akilini? Rogers atachezesha vipi? Nafikiri Shaqhiri pia haifai kuja kupoteza tena pesa wakati Lallana kashakuja bora Sanchez anaweza Striker kucheza ila Lazar uwezo upo sababu anacheza Middle kati Sanchez na Pedro ndio itakuwa Sign ya maana kwa timu na Mabeki. Rogers afikirie mabeki na Middle zinaofunuafunua mtu nilisikitika kumkosa Reges Octopus Yule wa Porto kaenda Man City. Lallana sijui 25m then Shaqhiri 15 mmoja atakaa Bench bado haipo akilini.
 
nani? Wanyama? You must be joking mkuu! Wanyama hafai kucheza hata sunderland,hana discipline,hana consistency,injury prone! Etc etc.

wanyama mzuri sana, and very effective, ni type ya sulley muntari adn you need that kind of player hasa unapokua bullied and the likes of stoke, man city, chelsea etc.

ila yuko injury prone na nadhani ule ukenya pia ni factor

all he needs ni manager
 
Sanchez,Shaqhiri,Lazar,Lallana kweli inakuja akilini? Rogers atachezesha vipi? Nafikiri Shaqhiri pia haifai kuja kupoteza tena pesa wakati Lallana kashakuja bora Sanchez anaweza Striker kucheza ila Lazar uwezo upo sababu anacheza Middle kati Sanchez na Pedro ndio itakuwa Sign ya maana kwa timu na Mabeki. Rogers afikirie mabeki na Middle zinaofunuafunua mtu nilisikitika kumkosa Reges Octopus Yule wa Porto kaenda Man City. Lallana sijui 25m then Shaqhiri 15 mmoja atakaa Bench bado haipo akilini.
i think anadraft kumuuza coutinho, otherwise haiwezekani kuwa na akina sanchez, lallana, allen, stterling, shaqiri, lazar etc

maybe shaqiri awe winger tu

akina borini, etc naona ndio baibai tena
 
nilimcheki kwenye youtube, he is sensational (ila hana nguvu) but i think Luis Alberto can do all what Markovic can do... tulichokosa kwa Luis Alberto ni opportunity... which was given to Flano and Raheem

absolutely true! L.A is very similar to Markovic,ndo mana naona hii deal ya markovic ni unlikely,LFC will buy a striker ili kucover void itakayokuwepo when suarez will be out
 
i think anadraft kumuuza coutinho, otherwise haiwezekani kuwa na akina sanchez, lallana, allen, stterling, shaqiri, lazar etc

maybe shaqiri awe winger tu

akina borini, etc naona ndio baibai tena

wee ! Kumuuza kotinyo ngumu sana aisee...borini nadhani atapigwa bei sasa! BR aliwahi kusema anataka small and tight squad!
 
wanyama mzuri sana, and very effective, ni type ya sulley muntari adn you need that kind of player hasa unapokua bullied and the likes of stoke, man city, chelsea etc.

ila yuko injury prone na nadhani ule ukenya pia ni factor

all he needs ni manager

Exactly my point...tukizubaa morinyo atambeba..
 
i think anadraft kumuuza coutinho, otherwise haiwezekani kuwa na akina sanchez, lallana, allen, stterling, shaqiri, lazar etc

maybe shaqiri awe winger tu

akina borini, etc naona ndio baibai tena

Kubadili timu yoote isije kuwa kama Tottenham...
 
Exactly my point...tukizubaa morinyo atambeba..

what i ahve learnt ni kwamba kuna tatizo kati ya wanyama na managers, its either ni kiburi au hana good communication na managers wake.. kitu ambacho aliweza kufanya akiwa scotland

Wanyama na Mriga ni blood brothers, sijui mariga anendeleaje kwa sasa huko Italy

one thing i have noted ni kwamba BR analeta uzungu/uingereza ambao kuna siku utamla kichwa becuase managing those media darling is always an issue na wanakua hawana hunger kwenye games
 
i think tulikosa leadership zaidi kwenye defence kuliko beki... SG is not a holding midfielder but he is being transitioned there. if Enrique is fit, and we sell Glen JOhnson to get two fast wingbacks, plus flanno, tunaweza kuwa poa

if they sell Agger then surely wanaleta sub ya Skertel becuase Sakho will take Agger position and Skertel replacement bado hajapatikana, so kuna haja ya kuwa na beki wa kujaribu kabla ya kuuza skertel

personally ningependa sana agger abaki ila skertel ndio auzwe, agger can play even number 3 au namba sita

Halafu SAKHO simuamini kabisa..kila akishika mpira roho inanidunda....bora tumuuze tutafute mholanzi mmoja hivi,,
 
Back
Top Bottom