what i ahve learnt ni kwamba kuna tatizo kati ya wanyama na managers, its either ni kiburi au hana good communication na managers wake.. kitu ambacho aliweza kufanya akiwa scotland
Wanyama na Mriga ni blood brothers, sijui mariga anendeleaje kwa sasa huko Italy
one thing i have noted ni kwamba BR analeta uzungu/uingereza ambao kuna siku utamla kichwa becuase managing those media darling is always an issue na wanakua hawana hunger kwenye games
Tony Barret anasema #LFC wanataka kumsajili Lazar Markovic wa Benfica..
Huyu jamaa sijawahi kumuona akicheza, na sipendi kufatilia Skills zake kwenye youtube..coz huwa wanachukua mambo mazuri tu, au kushine kwake katka match mbili tatu.
so kama kuna mtu ashawahi kumuona, atusaidie kumuelezea..
cc. Pazi the magificent osokonoi Janjaweed Gwamahala Blac kid Ed n Edd nEddy The Boss na mkuu Belo..kama kuna mtu kishamuona jamaa akicheza mara kwa mara, atusaidie hapa tumjue vizuri.
He is the rock... Ni watangazaji wametuaminisha hivyo... He nade fewer mistakes, better tackling, pass accuracy etc. check stats kwenye fifa14Halafu SAKHO simuamini kabisa..kila akishika mpira roho inanidunda....bora tumuuze tutafute mholanzi mmoja hivi,,
Sakho fits the bill, wewe tuNi kweli uzungu unaiharibu timu....tunahitaji weusi wenye afya waweze kudhibiti bully za uwanjani
kitu kama Jonathan Mensah wa Ghana
He is the rock... Ni watangazaji wametuaminisha hivyo... He nade fewer mistakes, better tackling, pass accuracy etc. check stats kwenye fifa14
Hadi sasa kwenye stats za fifa ni top four player ndani ya world cupMimi huwa nawashangaa watu wanamponda Sakho! Sijui huwa wanamuangalia kwa jicho gani,in short,ni kati ya mabeki visiki sana!
Kweli, na yuko liverpool, sijui kwanini tunamnunua shaqirikuna dogo anaitwa Texeira! Ni habari nyingine kabisa..anapga soka kama Coutinho! Anampoteza suso kabisa! Ni U21 wetu
Kweli, na yuko liverpool, sijui kwanini tunamnunua shaqiri
Hadi sasa kwenye stats za fifa ni top four player ndani ya world cup
Habari zinasemekana Sanchez anaenda Beyern Munich then Shaqhiri Kule anaondoka ila LFC deal la Shaqhiri wanaweza kuvunja sababu wanamtaka Lazar Markovich, Origi wanaweza kum sign £9m na kumrudisha Lille, hawawezi kumsubiria mwakani wanaogopa Price yake inaweza kupanda, Luis Suarez nasikia LFC wanaiomba FIFA aruhusiwe kufanya nao mazoezi inaonyesha wapo tayari kumbakisha au Kama Kuuza wanataka £80m Cash bila Kichwa cha mtu na sababu za kumbakisha ni hizi wanasema Kama watu wapo tayari kum sign inaonyesha wanao msign wapo tayari kutojali kosa lake na kumrekebisha. vipi wao isiwe sawa kumbakisha? Kama yupo tayari Kubaki? Point Yao LFC kwamba timu nyingi wanaona LFC imuuze sababu ya matatizo yake Luis Suarez ila vipi waone timu wanaotaka kumnunuwa mashabiki wa timu zengine waone sawa? Bila kulalamika. Mie Maoni yangu wamuuze wachukue 65-80m ila pesa wazitumie kwa Akili sio Kama Totenham. Sakho wale wanaosema Sakho alicheza vibaya LFC wangalie tena game zote alizocheza, kafanya vibaya game chache tu alizorudi kutoka kwenye maumivu sababu zilikuwa Big Games za mwisho rahisi kuhukumu makosa Kama Steven Gerrad kateleza moja imefuta Assist zote aliofanya EPL ndio macho ya watu.
Kweli uongozi na owners wanajua umuhimu wa luis....even 50% luis is better than most epl playersMkuu suala la kuuzwa suarez tunaliangalia kishabiki sana ni kweli luis kauzi mashabiki wengi lakini naamini kabisa cabinet ya Lfc itamuuza kwa sababu ya kibiashara/faida na sio eti kisa kang'ata mtu. Suarez ana mchango wake mkubwa hapo ilipofikia liver na uongoz bado una imani naye, club yeyote ikileta ofa nono lfc watavuta mkwanja lakini sio kwa mashinikizo ya mashabiki hizi club ziko kibiashara zaidi!!
FIFA wapumbavu...wamemfungia sawa why,asiruhusiwe mazoezi?why Liverpool plans zivurugike sababu ya kosa timu ya taifa?Suarez,anahitaji pia msaada wa kisaikolojia...atafutiwe daktari