Ningependa lfc wambakize suarez sababu tunahitaji mafanikio zaidi na huyu jamaa ndo jembe letu kufikia hayo malengo!
Suarez did something wrong and we can't support it, however there is a lot of hatred going on na ndio tatizo lilipo, waingereza na wataliano lazima wamchukie, he is dangerous....hata maradona walimsumbua sana
jermaine defoe alingata ikapotelezewa, cheaters are diving yanapotelezewa (Robben just robbed Mexico yesterday), refs are ruining world cup, husikii hata mmoja anaondoshwa... In thelast 16 tunaona live refs wanapush for european decisions etc.
fifa is not strong and just anymore, imekua puppet.... Wanayumbidhwa, hata hukumu haikuangalia tatizo kuu ambalo ni tatizo la akili la suarez... Cha kwanza wangehitaji apimwe akili wakatina wakati hio asimamishwe kucheza soka hadi madaktari wathibitoshe ni mzima au mgonjwa
kama ni mzima apewe adhabu na kama ni mgonjwa atibiwe kabla ya kurudi uwanjani...
stopping him hata kufanya mazoezi si sahihi.... Ni zaidi ya kumuweka jela.... Ni kumyima haki ya msingi ya binadamu. Alex song alipiga mtu kipepsi cha uti wa mgongo, kisayansi madhara yake ni mabaya zaidi, angewezakumlemaza mchezaji, but no one says anything
fifa has lost it.... Corruption has killed it, they were for messi, c ronaldo and neymar, they didnt want bad boy to shine... Bahati mbaya wanaiadhibu liverpool who have done a good job managing his behaviors hadi akapata zawadi, akapunguza drama and diving.... He was attending special sessions za kumtuliza
wangempiga hata two year ban for the country and 6 to 8 matches for club sana, sio four months ban kwa club na nine months ban kwa nchi...
Unfair decision to a sick person...
mpira ni unafiki tu kila timu inatetea Zambi bwana Suarez kafanya kosa haibadilishi kosa ila ni kweli vipi Kama Kasema Sorry sababu ya Barcelona ndio iwe ok sasa Suarez aonekane fine? Mie Suarez a waambiwe sorry asiwambie sorry LFC sawa tu akiondoka sitomchukia kwa baya nitamkumbuka mazuri ila Luis Suarez ajirekebishe tabia tu akibaki sawa akiondoka sawa ila maoni yangu akiondoka tutatulia na timu yetu ila English Media msikatae zitazidisha chuki na kusema Liverpoolfc timu ya wahuni mbona Eric Cantona alivyorudi Watu walimpigia makofi mbona Duncan alikuwa anapiga watu vichwa watu wao waliendelea kumpigia makofi sio uhuni huo? Mbona kina Keweon Arsenal walimpiga Van nistorooy timu zao zikawatetea ndio Football tofauti Yale matendo yakina Eric Cantona yangetokea enzi hizi za Social Media wangeona uchungu Kama wa Suarez Hiyo ndio tofauti. Suarez kafanya kosa tusiseme sio kosa. Ila kila Club hutetea mslahi yake angeondoka kipindi kile ni 35m Leo anaondoka 55-80m huoni pesa nzuri Suarez akiondoka sitomchukia sababu ya kaondoka LFC ila nitapumua ila wengi wakumbuke wachezaji wengi tu wanna matatizo na timu zao wakirudi wanawapigia makofi na kuwaona Hero wanayoyatenda ila Social media siku hizi watu Wana power ya kulalamika, subiri mtu amtemee mate mtu uone itavyokuwa sio Kama zamani atayetemea mate sasa hivi naye atapigwa ban 8 game.
Ukiangali inconsistency, mivutano na migongano inayoibuka kila kukicha ndani ya fifa, then unapata wasiwasi kwamba chombo hiki siyo kwaajili ya mpira!
Tunafahamu kwamba kwa utaratibu wa nchi zote duniani, kila binadamu ana nafasi ya kupata haki yake kwenye chombo sahihi kabisa ambacho ni mahakama. Sasa mimi huwa najiuliza hivi ni kwanini fifa hawataki mambo ya mpira kufika mahakamani?
I hope Luis hivi Luis vile yataisha ndomana nasema akiuzwa tutatulia na hutonisikia kumponda yeye ataanza upya atapokwenda na sie na timu yetu tutaanza upya ukisema hakuna anayetetea Zambi zake ni uongo wapo Kabla ban Lugano katetea baada ban Raisi katetea then Ban FIFA ndio Kabisa wamechemsha Luis Suarez hata akienda Barca ban ya Club ipunguzwe au itolewe iongezewe Uruguay tu la Pepe na Song ni kweli ila Song angemvunja mwenzake uti wa mgongo ila hizo tatu hujaona moja kupewa club, FIFA WorldCup ikiisha utaaanza kusikia wanaanza kukosoana Yao ya Qatar ya wapi pesa za Brazil nani alifanya hivi wewe subiri Platini na Blatter watashindana kwa mengi, ila sasa hivi tumuache Suarez apumue Pengine atapokwenda itakuwa upya kwa kubadilika kwake. Mkuu maoni siku zote yatatofautiana kutokana na mapenzi kwa Luis watasema hivi na Wenye chuki na Luis watasema hivi na kundi jengine litakuwa balance na yote inatokana na je sheria hizi za kweli au zinakuwa mpya kwa siku chache tu?Well why we brought this discussion in front of jf Liverpool family ni kufahamu maoni ya kila mmoja wetu kuhusu the incidence happened to Lui.
So far sijaona comment yeyote inayotetea dhambi ya lui zaidi kinachoonekana ni wengi wetu wanataja kwamba adhabu ni kubwa sana, na kwamba siyo haki Liverpool kuhusishwa kwenye adhabu while kosa limefanyika akiwa anatumikia national team. wengine wanasema fifa wameonekana kukurupuka kutokana pressure ya vyombo vya habari vya kiingereza na kiitaliano.
wakuu yametimia! According to Liverpool ECHO,LFC have opened talks with Barca over a transfer of L.S! Wanatarajia kukutana jumatano jijini London kwa ajili ya kudiscuss deal na kuna posibility kubwa ya Sanchez kuwa part ya deal! Aione osokonoi The Boss MosDef Pazi Janjaweed reynod and all LFC family humu ndani
I think the ones who know what happens for the real, are those who make decisions Kuna rumours kwamba Sanchez prefers Arsenal over Liverpool
Na tetesi nyingine ni kwamba R.Madriad wanataka kumuuza Di Maria to make room for kroos..? I think he might be an option if sanchez is not interested
vipi reputation ya real ianaharibika because of pepe? What about manure na cantona? Isnt he a manure legend and has tv programs? Vipi maradona ? Isnt he an icon despite failing doping tests? Hayo ni maneno ya wanafiki na wazushi tuKuna watu wana question juu ya reputation ya Liverpool.
Hilo litakabiliwa vipi while holding on Lui?
Sanchez is the token kwenye hii swap, he is a better player kwa liverpool kwasababu sasa tutakua na true namba tisa wawili na true namba kumi watatu.... The balance itakua nzuri zaidi maana suarez ni namba kumi aliyekua anapiga na namba tisa thats the reason sometimes walikua wanashindana badala yakusaidiana na sturridgeKuna kitu kengine nafikiri Barca wanaweza Kuwa Hawana £80m za kutowa so njia rahisi kwao ni kumuuza Sanchez kwa 35-40m hapo ndio wapate pesa ya kuongezea kumpata Sanchez ndomana LFC wametaka deal mapema ili wacheze nao Swap na pesa na ndomana wamewaambia hamuwezi kutowa 80m wasitegemee LFC wataendelea mazungumzo nao mpaka tranfer window karibia kufungwa Barca washaambiwa wanapewa huu mwezi tu sababu Real Madrid 80m wanayo.
vipi reputation ya real ianaharibika because of pepe? What about manure na cantona? Isnt he a manure legend and has tv programs? Vipi maradona ? Isnt he an icon despite failing doping tests? Hayo ni maneno ya wanafiki na wazushi tu
The key to our decision should be whether luis wants to stay or not and if we get the right deal, hayo mengine maneno tu hata kwenye vibajaji yapo
Kwanza, suares sio mtoto wangu ni employee wa liverpool, lets compare apples with applesWell, with all respect sikubaliani na utetezi wako kwamba hayo ni maneno ya wazushi tu…na hata kwenye vibajaji yamo
Are you telling me kama mwanao ameanza tabia ya wizi utaendelea kumpetipeti na kumkingia kifua eti kwasababu majirani zako wanawapamba na kuwavimbisha vichwa watoto wao kwa tabia ya wizi..? No never…
Real Madrid is real Madrid…we all know that Owen amekuwa na majuto, Alonso anaikumbuka sana Anfield…zama za cantona na maradona ni tofauti sana na zama za sasa, mpira umekuwa na effects kubwa sana kwenye maisha ya kila siku…katika interviews nyingi, 10 yrs old, Kop kids presenter mara kwa mara amekuwa akimtaja Lui as his favourite…
Now, kuna habari kwamba lui siyo tu hatoruhusiwa to train with his fellow players but also he won't be allowed to participate in any charitable events which the club might be involved…no hospital, no schools visits…etc, that means no relationship with the community!
…"He has let himself, his team and his family down-while Liverpool certainly won't be impressed either"…Jamie Carragher
naona LFC inasemekana Kumbe hawamtaki Sanchez hata Kama yupo uwezekano wa kumpata wao wanachotaka ni pesa yote na mapema ili wao ndio watajuwa nani coach wao anataka kumleta kwenye team wamesema habari za Sanchez zimetokea sababu Barcelona kumtaka Suarez na hazihusiani na Sanchez kutakiwa LFC, LFC wangejaribu tu kumpata Sanchez.
Well, with all respect sikubaliani na utetezi wako kwamba hayo ni maneno ya wazushi tu…na hata kwenye vibajaji yamo
Are you telling me kama mwanao ameanza tabia ya wizi utaendelea kumpetipeti na kumkingia kifua eti kwasababu majirani zako wanawapamba na kuwavimbisha vichwa watoto wao kwa tabia ya wizi..? No never…
Real Madrid is real Madrid…we all know that Owen amekuwa na majuto, Alonso anaikumbuka sana Anfield…zama za cantona na maradona ni tofauti sana na zama za sasa, mpira umekuwa na effects kubwa sana kwenye maisha ya kila siku…katika interviews nyingi, 10 yrs old, Kop kids presenter mara kwa mara amekuwa akimtaja Lui as his favourite…
Now, kuna habari kwamba lui siyo tu hatoruhusiwa to train with his fellow players but also he won't be allowed to participate in any charitable events which the club might be involved…no hospital, no schools visits…etc, that means no relationship with the community!
…"He has let himself, his team and his family down-while Liverpool certainly won't be impressed either"…Jamie Carragher
I dont think so.... Liverpool hawasaini media players, if they were doing that basi lallana, emre na lambert wasingekwenda liverpool, na bei wanazonunulia sio sawa na tottenham who would pay 9m for lambert, 30 for lallana na 18 kwa emre.... Moreno is an example of their difference in handling pressure from agentsLiverpool inaelekea kuwa Tottenham Hotspur.
thanks EMT, naona osokoni hasomi media ya malkia vizuriI don't condone what Suarez did, but kama Liverpool wataamua kumpiga bei simply because of that incident, then it will be one of the worst decision to make. Sidhani kama Barca au Madrid wangempiga bei Messi/Ronaldo kwa kumng'ata mtu.
Unless Suarez mwenyewe anataka kuondoka na Barca wame-meet the release clause, then uamuzi wa Liverpool kumpiga bei utakuwa umekuwa influenced by the English media.
Suarez ana bad reputation, lakini wapo wachezaji kibao wana reputation mbaya. Hate or love him, he is a world class player tena. Na kama kweli Liverpool watampiga bei kwa sababu ya kelele za media then, watakuwa wa ovyo sana.
Waingereza wako kama Watanzania. Ni wanafiki sana. Wanapenda sana kureact kwenye matukio. Baada ya muda wanasahau kila kitu. Imetokea mara nyingi tena kwa huyu huyu Suarez na baadae kuishia kumpa masifa ya kufa mtu? Halafu kwa vile aliwapiga bao, basi inawauma saaaana. They just want to see the back of him. Lakini kama angekuwa ni mchezaji wa Sir Alex Ferguson sidhani kama angempiga bei.
Mtu lazima ujiulize kama kweli Suarez anailetea Liverpool image mbaya then kwa nini Barca wanataka kumnunua? Barca wana image mbaya? Kwamba Liverpool ina good morals than Barca? Kwamba ataharibu image ya Barca? Nope.
Yaani Liverpool wanakuwa bullied na media kumwuza na wao wanakubali kilaini hivyo? Kama wakimwuza, then watakuwa wamefanya mistake waliyofanya Spurs kumpiga bei Bale. Unaweza kum-replace Suarez na nani? Sanchez? Emre Can? Lambert? Lallana?