Kuondoka kwa Suarez ndiyo mwisho wa Liverpool, msimu wa ligi unakuja wazee wa Anfield watarudi katika nafasi zao walizo zizoea (6 - 12).
Mkuu naona umepotea jukwaa
Sitakataa uhamisho wa Suarez sababu mpira wa sasa ni pesa.
Kwanini namuamini BR na LFC without Suarez
1. Ana uwezo wa kumtengeneza mchezaji kuwa a better player
- Sturidge nani alikuwa anamuamini huyu jamaa? Hata mimi nilipinga uhamisho wake. Pale Chelsea si alikuwa kama garasa? but now ni mfungaji bora baada ya suarez
- Sterring wakati anapandishwa kwenye squad ya lfc na kuhakikishiwa namba kuna watu walipinga, but what he got now habari yake mabeki wanaijua
- Hata alipofanya usajili wa mignolet, cautinho, others walipinga lakini their best now katika squad
- Suarez huwezi pinga hata kwa 1% kwamba BR ndo alimrudisha huyu jamaa katika form yake hadi sasa kuwa world class player
2. Wakati anaichukua timu 2012 kutoka kwa king Dalgish timu ilikuwa nafasi ya 8 yeye akamaliza nafasi ya 7, Nice one
Msimu mpya 2013/2014 akamiliza second place with 101 goals ikiwa ni 3rd highest place kwa goal score katika EPL na ikiwa second time since 1895-96, what a tragic move...!
I still believe in LFC & BR
To be continued