thanks EMT, naona osokoni hasomi media ya malkia vizuriSuarez cant be replaced, at most, the team can reorganize tu kubalance squad, huwa timu zinzkua na suarez ype once in generations.
Are you serious or kidding?
Umeanza kushabikia mpira lini? na pia wewe ni shabiki wa timu gani? unajua ni timu gani ina historia kubwa kwenye EPL?
Nenda katafute record za akina fowler, Owen makombe waliyobeba lfc then ndo uje
Usikurupuke kuja kuiongelea LFC wakati umeanza kufatilia mpira 2010
I dont think so.... Liverpool hawasaini media players, if they were doing that basi lallana, emre na lambert wasingekwenda liverpool, na bei wanazonunulia sio sawa na tottenham who would pay 9m for lambert, 30 for lallana na 18 kwa emre.... Moreno is an example of their difference in handling pressure from agents
in addition, liverpool are not intending to by 6 players, the intend to buy targets they set before...
Duh! Kunawatu makatili kweli Duniani humu! Ivi kweli mpaka leo Liver pool inawatu wanaoishabikia?
mkuu EMT,with all due respect kwa yote uliyoyaandika...nakukumbusha tu,huyo SAF alimuuza Cristiano Ronaldo kwa Madrid na bado Man Utd ikachukua ndoo,haya mambo ya kuuza key players pale uingereza ni ya kawaida sana,haikuanzia kwa Bale,na nakukumbusha tu,wenzetu wanafanya football biashara,sio football mapenzi. Pamoja na ushabiki wangu wote kwa LFC,nitakuwa wa mwisho kuwalaumu LFC wakimuuza suarez!
Liverpool can win without suarez, there are so many factor kwa hiloMlikuwa na hawa wachezaji wote kipindi hicho mlishinda ligi mara ngapi au mli-qualify for Champions League mara ngapi? Umepata jibu eheeee!
Mkuu suarez had to go, since he became a star at liverpool, nothing was peaceful anymore... (remember in his first season, which was actually half season, he was never a problem, hakua na majivuno wala media hype yoyote) Issue ya kushikiwa akili na baba nkwe nayo haileti certainty kwenye plans za mwaka za timuHaya tusubiri toune kama Liverpool watachukua ndoo baada ya kumpiga bei Suarez kama ilivyokuwa kwa Man Utd.
Pia naelewa unaelewa pisition ya Man Utd baada ya kupiga bei Ronaldo. Has it improved since then?
Nakubali football ni biashara siku hizi, lakini haina maana kuwa unaweza kuuza tuu wachezaji including your best player simply because football imekuwa biashara.
You need to sell strategically. Sitailumu Liverpool kama ni yeye Ruarez mwenyewe anataka kuondoka. Lakini nitailaumu Liverpool kama moja ya sababu za kumpiga bei ni lile saga la kung'ata na pressure ya media za Kiingereza.
Najua kuna wengi (hasa wale wa Utd) would like to see the back of him, but one of the reasons which made the Premiership so exciting last season was Suarez. For the first time in years, he made Liverpool a really title contender.
Duh! Kunawatu makatili kweli Duniani humu! Ivi kweli mpaka leo Liver pool inawatu wanaoishabikia?
Lovren anacheza katikati mkuu na Lovren mkali mara hata 5 ya debuchy Na Debuchy ni right back The Boss unamjua Lovren au unamsikia jamaa Yule analala na mtu anaondoa mpira na mtu anajuwa kutuliza mpira na kukokota bila kubahatisha.
tujuzeni kwani kuhusu suarez ndio tayari anaondoka liva?
salute mkuu! Najua wewe ni shabiki wa kutupwa wa Lovren! Kama mimi nilivyo kwa Sakho! Naona leo Lovren kayasema ya moyoni,na kwa maneno yale,lazima atue Anfield
Duh! Kunawatu makatili kweli Duniani humu! Ivi kweli mpaka leo Liver pool inawatu wanaoishabikia?
umenena vema,ila skirtel ni kama yupo peke yake na hana competition ya namba! Jiulize ikitokea skirtel kaumia,nani anacheza namba yake? Kolo Toure?
Liverpool can win without suarez, there are so many factor kwa hilo
zama za one man team zimepita
Tusubiri msimu uanze kwani miaka yote wanasemaga hivi hivi kuwa watashinda ligi kutokana na usajiri mkalii walioufanya, mwisho wa siku wanachukua nafasi ya 8 au 10 na point 30 au zaidi nyuma ya bingwa wa ligi. Ila inatokea once in a while Liverpool wanapiga kelele kwenye ligi kama mwaka jana na mwaka 2005, 5008 then wadau wanadhani ndiyo timu imekamilika kumbe ni kelele za paka tu kwenye dirisha la mpangaji.
Tusubiri msimu uanze kwani miaka yote wanasemaga hivi hivi kuwa watashinda ligi kutokana na usajiri mkalii walioufanya, mwisho wa siku wanachukua nafasi ya 8 au 10 na point 30 au zaidi nyuma ya bingwa wa ligi. Ila inatokea once in a while Liverpool wanapiga kelele kwenye ligi kama mwaka jana na mwaka 2005, 5008 then wadau wanadhani ndiyo timu imekamilika kumbe ni kelele za paka tu kwenye dirisha la mpangaji.
Are you serious or kidding?
Umeanza kushabikia mpira lini? na pia wewe ni shabiki wa timu gani? unajua ni timu gani ina historia kubwa kwenye EPL?
Nenda katafute record za akina fowler, Owen makombe waliyobeba lfc then ndo uje
Usikurupuke kuja kuiongelea LFC wakati umeanza kufatilia mpira 2010
Hao Owen fowler walishinda FA,Uefa cup, Super Cup na Owen alichaguliwa mchezaji bora Europe.