Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We pimbi mwaka 2005 tulibeba uefa champ ila mwaka 5008 bado haujafika.
hahahaaaaaaaaaaaaaaaa.... kweli jamaa ni PIMBI aisee

anazungumzia 5008??? kwikwikwikwikwikwikwikwikwiiiiii
 

Nilihisi umeandika vitu vya msingi ingawa at least umejitahidi ingawa unajichanganya

Kushabikia mpira before mimi sijazaliwa hilo haliwezekani 100% hata kama we use fake id but unaweza kum-judge mtu kwa uandishi wake, pitia ulichoandika then uwe unajirekebisha before hauja-post

Mara ya kwanza naanza kukujibu nilihisi utakuwa muelewa ila naungana na Tores kuwa wewe ni pimbi

My advise kwako if you don't like LFC si lazima u-post humu kaanzishe thread yako
 
Last edited by a moderator:
We pimbi mwaka 2005 tulibeba uefa champ ila mwaka 5008 bado haujafika.


Pimbi ni wewe, kwani ungeelewa tu kuwa mwaka I meant 2008 na si 5008. Mada hapa ni kwamba nimesema na kujibu kuwa Liverfool haijawahi kuchukua ubingwa wa EPL, never.
 
Pimbi ni wewe, kwani ungeelewa tu kuwa mwaka I meant 2008 na si 5008. Mada hapa ni kwamba nimesema na kujibu kuwa Liverfool haijawahi kuchukua ubingwa wa EPL, never.

Hawa jamaa wanakuja chafua thread huku dawa yao kuwalima BAN.
 



Siyo kama siipendi Liverfool bali naongea facts. Fuata facts kwenye mtandao wa FA then uje ubishe hapa.....facts never lie.
 
Mimi nakushauri ukae kimya ili kuihifadhi heshima kidogo uliyobakiza we boya!


Ntanguliza kuwapa pole ya msimu ujao. Njooni tena hapa mwezi wa 5 mwakani, ila msije majeruhi kwani najuwa wengi wenu mtakuwa mmejiua kwa kushika nafasi ya 7.
 
ni ukwel anakuja au just rumours?

Naona kwenye mitandao mingi wanamuhusisha huyu jamaa na liverpool.bado nafuatilia. mpaka kesho tutajua km ni kweli.ila huyu jamaa ni jembe.tukimpata tutakua tumepiga bao.
 
Kitu baada ya kitu,mwaka huu naona BR kaamua kuleta majembe haswaaaaa Markovic is almost there! I am excited....i can't wait the start of EPL
 
Naona bbc na dailymail wanasema liverpool wanataka kuwapiga bao roma katka kumuwania A.cole.
 
Kasemaje? Emu tuekee link na sie tujionee!

Anasema Liverpool Anthem,You'll never walk alone inampagawisha,anapenda kuisikia tena na tena! Nakiri,mashabiki na YNWA anthem hata mimi ndo vilivyonikonvis kuipenda LFC,sikufichi,ule wimbo huwa unanifanya nakuwa emotional sana...ndo maana nimepanga Mungu akiniweka hai,within 3 yrs nataka nikapige bonge la ziara pale Anfield...niangalie na game yetu na Everton au Manure pale Anfield.
 

naona mzimu wa kupigwa home and away bado unakuandama ndugu yangu,na nakuhakikishia,tunakupiga tena home and away! Utaona
 

Naamekiri atauandikia uongozi wake barua kwakua head yake yote iko anfield I believe atakuja tu kama anavyojieleza

"At this point, I don't know what I'll do and I don't like
it. It was unbelievable that a few days ago I had an offer
of 20 million pounds. It was in the morning and by the
afternoon the club had said I was not for sale. Frankly,
my head is already at Liverpool."
He said he had addressed a letter to the club to make
clear his feelings but no longer knew who was in charge
of such decisions.
"Honestly, I don't know who the main man at the club is
anymore," he said. "They are now looking for 25 million
pounds, but I don't think they'll get it."
He added: "Liverpool is one of the biggest clubs in the
world. Only Real Madrid have as many fans around the
world. The last time I played at Anfield, I got chills when
I heard 'You'll Never Walk Alone.' I would like to listen
to it all the time."
 
naona mzimu wa kupigwa home and away bado unakuandama ndugu yangu,na nakuhakikishia,tunakupiga tena home and away! Utaona


Natanguliza pole kwako na wengine wote. Kama Chelsea iliwachukua miaka 50 kupata ubingwa wa Uingereza why not Liverfool? bado miaka mingine 25 ya kusubiri, poleni sana.
 
Naona bbc na dailymail wanasema liverpool wanataka kuwapiga bao roma katka kumuwania A.cole.

Si ni afadhali wangemsogeza Thomas kalas kwa mkopo kuliko kulundika mizgo kama kolo toure!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…