Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa kweli fans wa Lfc uwanjani huwa wanahamasisha kiasi kwamba players wanakuwa na morali ya gemu balaa! Nakutakia Kila la kheri ktk nia yako ya kufka hapo anfield.
 
Natanguliza pole kwako na wengine wote. Kama Chelsea iliwachukua miaka 50 kupata ubingwa wa Uingereza why not Liverfool? bado miaka mingine 25 ya kusubiri, poleni sana.

Sie fans wa Liverpool sio watu wa maneno mengi subiri moto utakaowashwa mwez agust uone. Inshort the coming season, the tittle is for liverpool.!!!
 
Jamani origi ni mzuri? Napata wasiwasi kidogo na uwezo wake;
 
Kwa kweli fans wa Lfc uwanjani huwa wanahamasisha kiasi kwamba players wanakuwa na morali ya gemu balaa! Nakutakia Kila la kheri ktk nia yako ya kufka hapo anfield.

Ahsante sana mkuu...hopeful my dream may come true..
 
Sie fans wa Liverpool sio watu wa maneno mengi subiri moto utakaowashwa mwez agust uone. Inshort the coming season, the tittle is for liverpool.!!!

Haya maneno uliya quote from 25 years a go bcs this is what Liverfool fans say. Ila come January tayari wako 20+ points behind the leaders. Si ngeni kusikia haya. Poleni, tena sana tu.
 
Haya maneno uliya quote from 25 years a go bcs this is what Liverfool fans say. Ila come January tayari wako 20+ points behind the leaders. Si ngeni kusikia haya. Poleni, tena sana tu.

Kweli we jamaa ni mbishi siwezi kukushnda ktk fani yako ya ubishi ila subiri hadi january mwakani uje uongee tena ulichoandka hapa.
 
Origi ananunuliwa lkn anakopeshwa Lille kwa mwaka mzima so atarudi Liverpool ligi ya 2015/16

Okey hapo poa.lakini what kind of biznes is that? Yaani unaspend £ 10 mill.then unakopesha? Is better you take that £10 mill unatop up kwa sanchez or james rodriguez upate mtu bora ambaye atakusaidi kwenye msimu ujao.au we unaonaje?
 
Liverpool wamewekeza sehemu muafaka kabisa!Akiendelea na moto huu stock ya Origi itapanda mno wakati wa Euro qualification itakapo anza mwezi September mwaka huu!Bei ya Origi itafikia hata €35 milion!!

Madrid wanamtaka James Rod wa Colombia kwa € 60 Milion sasa wakati Monaco walimnunua Porto kwa € 45 Milion mwaka jana tu napo Monaco wanasema ongezeni hela zaidi
 
Anyway let us take a risk.
 
Okey hapo poa.lakini what kind of biznes is that? Yaani unaspend £ 10 mill.then unakopesha? Is better you take that £10 mill unatop up kwa sanchez or james rodriguez upate mtu bora ambaye atakusaidi kwenye msimu ujao.au we unaonaje?

wenzetu wanaangalia kesho pia,ndo tofauti kubwa kwenye soka kati yao na sisi
 
Anyway let us take a risk.

The more the risk;the big the return!Wakati Monaco wanatumbukiza £ Milion 45 kwa Rodgruez hata wewe ukiwashangaa lkn leo hii kwa mwaka mmoja tu kijana huyu bila at least £ Milion 70 humuondoi Monaco!

Tusiogope tuwekeze hela zetu kwenye portofolio yenye kuleta matumaini na tuwe diversify!So far Liverpool inahitaji striker mmoja tu wa ukweli na beki wa kushoto aliyeiva wawe mabingwa
 
Anyway let us take a risk.

wazungu wanafanya biashara ya soka,ukiliweka hilo akilini mambo mengine madogo madogo utakuwa unayaelewa haraka,kama hilo la Origi! Linaweza likalipa au lisilipe,hv unafahamu suarez na tores walinunuliwa shngap na wameuzwa shngp? Carol,downing je? It's a gamble!
 
Mshikaji mbona uko shallow sana.for ur information is better u have a nuetral guy in your squard kuliko mtu ambaye anaonesha hisia zake kwa club fulani.uko dunia ipi ambayo hujui kinachoendelea.sanchez has verbal agreement with gunnerz.

Huyu jamaa nilishamwambiaga kitambo tu sanchez hana mapenzi na liverpool.......hakabisha weee.....eti akaniuliza alishawai kuniambia kua hana mapenzi na liverpool? sasa hivi anataka kuwatia lawamani Ayre na FSG. Da leo nimecheka sana.....tujifunze kuona mbali na kutizama mambo kwa 3 Dimensions.....hahahahaaa

YNWA!
cc: MosDef
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…