Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ila mi kiukweli kwa adhi ya liverpool mpka sasa sijaona signing ya maana kidogo angalay lalana..msimu ujao tuna mechi nyingi tena zenye ushindani mkubwa..kwa mfano tuchukulie champions league,embu angalia timukma barcelona ama real madrid ukifatilia usajili wao unaona kabisa wanasajili kwa ajili ya uefa na mashindano makubwa.
Liverpool tusipo angalia tutaishia kua kma arsenal,timu inakua na wachezaji wenye vipaji umri mdogo lakini sio title contenders.embu. imagine mfano gerald asipo kua kwenye bitch mayb nani atawaamasisha wenzie tuseme timu mayb timu ipo down kwa goli tatu.suarez japo alikua na uncontrollable behaviours lakini alikua na ushawishi kwa wenzie,mie nlifikilia wange tafuta replacement ya suarez sio tu kwa kiwango bali pia na aina ya mtu..torres is good sijui hata kwa nn hata hawamtaji.kwa aina hii ya wachezaji tunao wasajili tutaishia kua kama swansea ama arsenal mpira mzuri bt no cups..mi nilitegemea tuendele kukimbizana na madrid uefa ila nakata tamaa naona kama itatuchukua miaka mingine mingi mpaka kupata kikombe cha uefa.
 
Tuwe wavumilivu....
Liverpool wanajua udhaifu. Hata. MARCO Rojo siyo mbaya... ILA MORENO YUKO VYEMA...

Mkuu
Actually mm namkuabli zaidi Marco Rojo zaidi ya Moreno!!Nilisikia weeks zilizopita kama Liverpool wanamtaka sijasikia tena habari zake!Bonge ya back huyu Rojo
 
Bye bye liverpool,msimu uliopita mlikuja top 4 kupasha kijiwe,sahauni msimu huu
 
bora isiwe official na awe mtu wa LFC siku hizi kuna watu si LFC na wanaaondika matusi ili waonekane mtu wa LFC kuna gazeti nimeisoma kijana amekamatwa mitaa ya England North kaandika matusi ya ubaguzi na page zake za Twitter kaweka LFC Police walivyoweka kupata kwake wamekuta kijana ni mdogo na chumba chake kimejaa bendera za Newcastle kuulizwa Kama angalau timu yake ya pili ni LFc Kasema hapana na anaomba msamaha hatorudia Hiyo tabia so nyuma ya pazia umfikiriae anaweza Kuwa sie au ndie pia nyengine mtu katumia Arsenal kuandika ujinga watu wamestukia hata si mshabiki wa Arsenal vijana wanaikosa kazi za kufanya ndomana England inakosa watoto wanaojuwa mpira.
 
Gazeti la MIRROR limeandika.Na tayari Southampton wamepeleka dau kwa VLAA wa Aston Villa ili kumliplace Lovren.
Aidha kwenye official website ya Southampton Koeman amecomfirm kuhusu hilo.

Nimeona S'ton wamebid kwa Vlaar... he was magnificent kwenye world cup
 
Hapa bado Moreno tu ndo anatuumiza vichwa!!!
i think there are too many fullback around to dwell too much on Moreno

kama angekua anataka kuja Liverpool angesema public na hiyo ingesaidia kupush for a move... Maybe he doesnt want to come
 
Gazeti la MIRROR limeandika.Na tayari Southampton wamepeleka dau kwa VLAA wa Aston Villa ili kumliplace Lovren.
Aidha kwenye official website ya Southampton Koeman amecomfirm kuhusu hilo.

Habari njema hii na huo ndiyo utakuwa usajili wetu wa season!Skrtel anaweza enda Napoli sasa au?
 
Habari njema hii na huo ndiyo utakuwa usajili wetu wa season!Skrtel anaweza enda Napoli sasa au?
Kuna habari zinasema ni 20euro na si Pounds so ni 15m pounds ndio imekubaliwa kwa Lovren ila mwanzo walitaka 20m pounds Sema Lovren alishawakasirikia, LFC nao wasitoe watu kwa mkopo bora wauze tu Lucas Pengine Loan Huyu skertel Kama hawamtaki naye wauze Kama Loan bora akae bench atasaidia wengi tunamkosoa Skatel mbona hatumsifii magoli yake pia? Na tukumbuke zaidi ya makosa pia ameokowa nyingi sana Skertel kiumbe Jana nimetizama seattle beki wao wakulia Mzuri na cheap LFC wamchukue ili GJ aanze bench GJ ajirekebishe kwenye kukaba ila kwenda Mbele katulia. Skertel Ana magoli kuliko striker za watu wengi msimu uliopita atatulia tu beki akiona kina Lovren.
 
Huyu Rojo nakumbuka Kabla Moreno LFC niliona Link nikasema nimchunguze YOUTUBE kutizama nikaona kidogo nikasema Hana mpango ila kuja kuona game zake za Argentina dogo ni mkali kuliko game za Seville za Moreno nilizoziona full game Rojo dogo ni Mzuri na ni mgwasu wale washambuliaji Vyuma anawaweza ila Moreno naye ni Mzuri katulia ila Rojo mkali zaidi na price yake sio mbaya ila WorldCup alivyocheza sasa hivi hagusiki.
 
Kuna habari zinasema ni 20euro na si Pounds so ni 15m pounds ndio imekubaliwa kwa Lovren ila mwanzo walitaka 20m pounds Sema Lovren alishawakasirikia,...

Yea, nasikia around £16m.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…