Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,296
Ila mi kiukweli kwa adhi ya liverpool mpka sasa sijaona signing ya maana kidogo angalay lalana..msimu ujao tuna mechi nyingi tena zenye ushindani mkubwa..kwa mfano tuchukulie champions league,embu angalia timukma barcelona ama real madrid ukifatilia usajili wao unaona kabisa wanasajili kwa ajili ya uefa na mashindano makubwa.
Liverpool tusipo angalia tutaishia kua kma arsenal,timu inakua na wachezaji wenye vipaji umri mdogo lakini sio title contenders.embu. imagine mfano gerald asipo kua kwenye bitch mayb nani atawaamasisha wenzie tuseme timu mayb timu ipo down kwa goli tatu.suarez japo alikua na uncontrollable behaviours lakini alikua na ushawishi kwa wenzie,mie nlifikilia wange tafuta replacement ya suarez sio tu kwa kiwango bali pia na aina ya mtu..torres is good sijui hata kwa nn hata hawamtaji.kwa aina hii ya wachezaji tunao wasajili tutaishia kua kama swansea ama arsenal mpira mzuri bt no cups..mi nilitegemea tuendele kukimbizana na madrid uefa ila nakata tamaa naona kama itatuchukua miaka mingine mingi mpaka kupata kikombe cha uefa.