Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Its so f*kn hard to be a liverpool fan

So just because Remy had heart problem liver wameamua kuvunja deal..

He played marseille, qpr and Newcastle akiwa na tatizo hilo, mtu kama Remy anauzwa 8.5m tu na mshahara wa 60k, unavunja deal..!!!!!
 
May be kuna ishu nyingine mkuu!!!!
 
Its so f*kn hard to be a liverpool fan

So just because Remy had heart problem liver wameamua kuvunja deal..

He played marseille, qpr and Newcastle akiwa na tatizo hilo, mtu kama Remy anauzwa 8.5m tu na mshahara wa 60k, unavunja deal..!!!!!

Hata mimi nimeshangaa
Heart problem? That not a case
All in all let as look forward tuone what another choice
 
Its so f*kn hard to be a liverpool fan

So just because Remy had heart problem liver wameamua kuvunja deal..

He played marseille, qpr and Newcastle akiwa na tatizo hilo, mtu kama Remy anauzwa 8.5m tu na mshahara wa 60k, unavunja deal..!!!!!
Hata Mie wameniuzi mwanzo mtu kanitumia msg Remy deal imevunjika sababu Medical nikakumbuka Marseille mwanzo Ali fail sababu ya Moyo ila baadae wakamchukua Stoke pia alienda Ali fail medical sababu moyo ila QPR na Newcastle hawakujali nashangaa LFC Pengine wameona umri wake na huo ugonjwa utakuja kumpiga mapema? Ah wanadamu sio wote wagonjwa wangemchukua tu sasa ngoja tupoteze pesa kwa Rodriguez nitalia bora aje Bony watanifurahisha.
 
mi sioni tatizo kama liver wameamua kuachana nae, kila timu inavyo vigezo vyake ktk kusajili kama medical team imeona hafai no problem.kwa vile dirisha la usajili bado halijafungwa atapatikana mwingine. u never know anaweza kua hajapata tatizo huko kote alikokua akapata akiwa LFC utamlaumu nani? I fully support LFC for this decision.
YNWA.
 
Still mzigo wa kusajili bado upo...tuvumilie wadau BR atafanya yake tu.
 
Me nasemaga kila siku kuwa Ayre anatuharibia team sana.

Tena hilo tatizo la Moyo ni dogo saana, ndo maana marseille, qpr na Newcastle consdered him, inamaana kama lisingekuwa.kubwa wasingekubali kuchukua hiyo risky, na its a known fact kuwa Remy had medical problems tangu marseille, so why making a move??

Remy angefit sana kwenye kikosi cha LFC ya sasa..

Dah! Yule Ayre sijui kwanini Alizaliwa!
 
Its so f*kn hard to be a liverpool fan

So just because Remy had heart problem liver wameamua kuvunja deal..

He played marseille, qpr and Newcastle akiwa na tatizo hilo, mtu kama Remy anauzwa 8.5m tu na mshahara wa 60k, unavunja deal..!!!!!

Mimi naona sawa tu brother,nimeona ana tatizo la goti pia!
 
Still mzigo wa kusajili bado upo...tuvumilie wadau BR atafanya yake tu.

Atafanya yake vipi, wakati commitee kila siku inam-dissapoint???

Mpaka leo hii, deal ya Moreno inambwela kisa tu add-ons, wakat Arsenal wanamchukua mtoto mdogo chambers kwa £16m?

Unakuja kuhangaika na Bertrand!!!, afu unaambiwa BR wants Him, how??, wakat hata Lambert kocha wa team kama Aston Villa hamtaki huyo Bertrand, itakuwa kwa kocha wa LIVERPOOL????
 
Simpendi Ayre,ila kwa hili me nadhani tunamuonea tu,medical team ndo inapropose nini kifanyike,Ayre anapitisha tu,kuna mambo mengine yapo sensitive sana,me nadhani hata wao walimtaka sana remy ndo mana wakampa ofa,ila ndo hvyo tena.
 
Mimi naona sawa tu brother,nimeona ana tatizo la goti pia!

Hizo ni excuses tu za team yetu brother!

Tatizo kubwa la Remy ni Moyo..tatizo la knee lisingeleta tatizo lolote brother..

Ndo yaleyale ya Sanchez preffered LONDON..

As long as Ayre na FSG wako na POWER tutaumia sana.
 
Simpendi Ayre,ila kwa hili me nadhani tunamuonea tu,medical team ndo inapropose nini kifanyike,Ayre anapitisha tu,kuna mambo mengine yapo sensitive sana,me nadhani hata wao walimtaka sana remy ndo mana wakampa ofa,ila ndo hvyo tena.
Mie Ayre pia siimpendi hata Carra amesikitishwa na LFC kumuachia Remy kwa bei rahisi! Ila Medical ndio inaipa ushauri team. Loic Remy alivyokwenda Marseille ndio timu kubwa aligunduliwa na tatizo huko ikabidi deal iwe frozen kwa muda Marseille wa kapewa ushauri ataweza kucheza baadae jamaa akawa nataka kuja kucheza EPL na timu kubwa nyingi ziliogopa kumpa sign kwa Hilo tatizo a katumia njia kwenda Stoke Kule aka fail medical ndio QPR walimchukua sababu goodplayer na sio timu kubwa waliona tatizo ila waliona ndio njia ya Kubaki EPL, QPR kushuka alienda Loan Newcastle ili apate njia timu kubwa ndio maana Remy alijipeleka game ya mwisho Emirates, Arsenal ukiwaacha mshahara ukweli nasikia pia ni wanajuwa history ya kijana sasa Remy amekubali 60,000 kwa week ila bahati mbaya huu ugonjwa ndio unamsababishia timu kubwa zinaogopa gamble fikiria akicheza game 15 mara fyaaaa tatizo limekuwa itakuwaje nani wa kulaumiwa? Henry? manager? Tukubali ukweli Mie namuombea Loic Remy matatizo yasimtokee apate timu afanye vizuri ila pia LfC tumejikosea mchezaji Mzuri.
 
Its so f*kn hard to be a liverpool fan

So just because Remy had heart problem liver wameamua kuvunja deal..

He played marseille, qpr and Newcastle akiwa na tatizo hilo, mtu kama Remy anauzwa 8.5m tu na mshahara wa 60k, unavunja deal..!!!!!
Hii ishu imeniumiza sana!!!!! It was almost a Done deal.
 
me nmeamua kua kimya tu nione litakachoendelea..ila infact wanaliver wenzangu msimu ujao inabidi tujiandae kisaikolojia lolote linaweza kutokea mie mpka sasa sijaelewa...wamemsajili oligi sa sijui atasaidia nini..anways ngoja tusubili mi hata sielewi nazidi kukataa tamaa sijui hata sura yangu ntaificha wapi uku mtaani tukianza kufungwa,msimu uliopita niliwafanyia fuko sana.
 
Wapenzi wa mpira bana. Sometimes wanakuwa vigumu kuwa rational, fikiria kama Liverpool wangemsajili wakati wanajua kuwa kafail second medical test then kesho au keshokutwa Remy akaanguka mpirani na kukimbizwa hospitalini ikagundulika chanzo ni moyo, Je mngeilewa na kuwaelewa Liverpool na viongozi wake? Moyo ni kiungo(organ) iliyo delicate wakuu, msilaumu sana. isitoshe jamaa ana historia ya tatizo hilo na mara nyingi historia huwa inajirudia(hasa katika Afya ya binadamu). Mnakumbuka kuna Mcameroon na Mspaniard walifia uwanjani kwa sababu ya ugonjwa wa Moyo? Hii kitu sio ya kuchukulia lelemama hata kidogo. Afu issue ya Remy ni tofauti na ya Kanu ambaye pamoja na kufanyiwa operesheni ya Moyo, kama sikosei hakufail medical test alipohamia Arsenal, Portsmouth, etc. Kama Remy angefail kitu kingine labda angepewa nafasi, nakumbuka Ruud van Nistelrooy naye alifail test ya goti lakini SAF alimpa nafasi
 
Wanaolaumu nafikiri wanasahau kwamba baada vipimo ile medical team wanaandika repot ambayo inajadiliwa na board then maamuzi ndo yanachukuliwa.
So kama bodi imeona ni vema kumuacha its ok and life goes on.
 
Naona Lovren kashaconfirm ujio wake Anfield,anasema amesain contrakt with LFC jumamosi na LFC itakomfem leo saa tano usiku kwa saa za UK.
 
Simpendi Ayre,ila kwa hili me nadhani tunamuonea tu,medical team ndo inapropose nini kifanyike,Ayre anapitisha tu,kuna mambo mengine yapo sensitive sana,me nadhani hata wao walimtaka sana remy ndo mana wakampa ofa,ila ndo hvyo tena.

James Pearce yupo na Team USA, anasafiri nayo kila mahali.

Hii habari angeitoa Barret au Smith, tungeweka doubt kidogo coz wapo UK..lakin kaitoa Pearce ambaye yupo na team states, na Zalf (dokta mkuu wa LFC) yupo na Team USA, thats why remy had to fly mpaka boston kufanyiwa medical.
 
Attachments

  • 1406490781073.jpg
    48.7 KB · Views: 56
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…