The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
dK 38 LFC wanaandamwa wakifikiwa mabeki inaonyesha mabeki muhimu hasa kulia na kushoto hasa kwa GJ no Lalana hayupo ila naongelea tulionunuwa Lallana sijui Kama atafanya uzuri.
We have signed qualities, lallana and markovic are super qualities, emre and lovren are pillarsIla sio Lallana Huyu Markovich anajuwa kukimbia na mpira Sema Nguvu Hana EPL majembe watamvunja ila ananipa uhai Sema hii game inaonyesha mabeki watafutwe Huyu GJ hajui kukaba bench litamuita Raheem anaendelea kucheza vizuri hapa na Sturidge.
Lallana will shock you... I had the same concerns ila nimetumia muda kumsoma na kuangalia games agaist timu kubwa, he was always beyond average
Mkuu umekua negative sana kwetuHuyu Steven Gerrad Kama Kobe Bryant bora Kobe Bryant wapo kuongezewa miakataba sababu ya walioyafanya nyuma ila yupo taabani muda wake naye umefika mpaka sasa Markovich,Raheem,sturidge na Can kidogo wanajitahidi na Hendo sababu anasaidia SG.
Mkuu,nimekosa acess ya kuangalia game,nijulishe kuhusu Markovic,yupoje yupoje hapo uwanjani.
Markovic yuko poa kabisa johnson ndo hayuko fit kwa leo aisee!
Check wavuti.com wana links zaidi ya 50Mkuu,nimekosa acess ya kuangalia game,nijulishe kuhusu Markovic,yupoje yupoje hapo uwanjani.
Ubaguzi? Kumbuka Bowyer alikuwa mzungu Leeds na aka fail medical sasa ubaguzi upo wapi? bowyer ali fail Medical Liverpool enzi za Gerrad Hollier na Ac Milan Cicokho medical failed sababu walimwambia ni Meno! Sie watu weusi muda mwengine kidogo ubaguzi.ubaguzi tu huo....angekuwa mzungu story ingekuwa nyingine...pole remy
Markovich anacheza vizuri na Can jamaa anakimbia vizuri na mpira ila kukaba kidogo anapata tabu ila bado kuelewana na wenzao japo naona Can na Markovich wanaoelewa zaidi na Hendo three link wanaonana vizuri.Check wavuti.com wana links zaidi ya 50
babu yangu Mungu amrehemu wakati mdogo alikuwa akisikia mpira tumeenda kucheza anapiga Kelele someni mpira utawasaidia nini ni game za ujinga siku tumekuwa ilikuja news kwenye TV zamani kidogo yupo hai akasikia Jose Mourinho atakuwa analipwa 60,000per week za UK, Marehemu Babu akasema Eh 60,000per week si bora mcheze mpira wa miguu kuliko mishahara ya Serikali zetu hazisaidii hata kutowa sadaka tulicheka.Mpira Zali sana..
GJ anakula 120k per week!!!!!
babu yangu Mungu amrehemu wakati mdogo alikuwa akisikia mpira tumeenda kucheza anapiga Kelele someni mpira utawasaidia nini ni game za ujinga siku tumekuwa ilikuja news kwenye TV zamani kidogo yupo hai akasikia Jose Mourinho atakuwa analipwa 60,000per week za UK, Marehemu Babu akasema Eh 60,000per week si bora mcheze mpira wa miguu kuliko mishahara ya Serikali zetu hazisaidii hata kutowa sadaka tulicheka.