changamoto, sajilini mabeki wa kati wenye uwezo wamsaidie COATES..waliopo wamechoka wanahitaji changamoto mpya. mlikaribia kuupata ubingwa lakini mabeki wamewaangusha.
pia mnahitaji mtu wa kuwasaidia kunoa idara ya ulinzi. ..ni hayo tu.
Beki wa kati atakuwa Lovren na Sakho pair moja na pair ingine ni Agger na Skrtel!Kijana Coates bado hajaiva tutambakiza mwaka huu acheze FA na CL mechi isiyo na madhara!
Vipi nasikia Lukaku kabwatuka kuwa sifa ya kwanza kuichezea Chelsea lzm uwe mzee?Ni kweli hayo kuwa uzee ndiyo sifa namba moja kucheza Chelsea?
Uchambuzi wako kwa hilo pls?
Nadhani anatania, kwa sababu anapaswa kushukuru kwa sababu CHELSEA FC wamemruhusu aende Everton tena kwa hela nzuri sana.
mbona madogo kibao wanapata namba, Oscar, Hazard, Wilian, Schurrle etc? Mbona kwenye timu ya taifa[ubelgiji] aliwekwa benchi na Origi hakupiga kelele? au anadhani pale Chelsea Fc ni shamba la bibi? Ni kawaida ya mtu akifanikiwa kubwatuka.
kocha JM alisema hivi: "He wanted to play for CHELSEA FC but he wanted to be clearly the first choice striker, which in a club of our dimension; it is very difficult to promise a player."
Lkn unajua Curtois hajapata jezi hadi sasa?Je unajua vijana wote akina Bertrand wanaondoka?Cech atamuweka benchi Curtois ku prove alichosema Lukaku the same to Terry kumuondoa Kalas na huyu Kurt Zouma ataishia bench tu
Beki wa kati atakuwa Lovren na Sakho pair moja na pair ingine ni Agger na Skrtel!Kijana Coates bado hajaiva tutambakiza mwaka huu acheze FA na CL mechi isiyo na madhara!
Vipi nasikia Lukaku kabwatuka kuwa sifa ya kwanza kuichezea Chelsea lzm uwe mzee?Ni kweli hayo kuwa uzee ndiyo sifa namba moja kucheza Chelsea?
Uchambuzi wako kwa hilo pls?
My Photo of the Day!!!....Nafikiri ujumbe ulifika!!!View attachment 174579
My Photo of the Day!!!....Nafikiri ujumbe ulifika!!!View attachment 174579
Mh,sijaelewa,after all mbona kama photoshop?
starting eleven,22.Mignolet,38.Flannagan,37.Skirtel,6.Lovren,18.Moreno,8.Gerald(hanishawishi bt ndo hvyo),14.Hendo,23.Can,20.Lallana,31.Sterling,15.Sturridge
Mh,sijaelewa,after all mbona kama photoshop?
You just benched Coutinho there Son!!!
1.Simon Mignolet/Reina/?? 2.Flannagan/manguilo??/Clyne?? 3.Enrique/Moreno??/Rojo??/ 4.Skertel/Lovren 5.Lovren/Sakho/Agger 6.Can/Lucas/SG 7.Raheem/Lallana/markovic 8.Henderson/StevenGerrad/Can 9.Sturidge/Bony??/???/Lambert 10.coutinho/Lallana/Raheem 11.Sturidge/???? Wataongezwa anajuwa Rogers kwenye ??? Clyne ningependa kumuona zaidi ila Southampton tumemalizana Hizo ?? Kwamba bado hakuna uhakika na sijui nani atakuwepo.
Moreno is almost a LFC player