Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Agger amedondosha machozi akimuomba BR kuondoka LFC kwenda sehemu yeyote atakayopata chance ya first team football,hayo yalitokea wakiwa US ndani ya dressing room,ambapo inasemekana wachezaji wenzie walifanya kazi ya ziada kumliwaza Agger,ambaye alikuwa na emotions sana,ktk mazungumzo hayo na BR ana kwa ana mbele ya wachezaji wote na benchi la ufundi. Hbr hii imeripotiwa na gazeti la The Mirror,siiamini,japokuwa inawezekana kbs ikawa ya kweli kutokana na situation ilivyo sasa,however it is,wherever he'll go,Agger will never walk alone,he'll always be in my heart!
BR ana ego sana!!Agger ni beki bora kuliko wote waliopo Liverpool lkn hampendi bila sababu za msingi!Games alizocheza Agger na mmoja wao ama Skrtel au Sakho alilinda sana clean sheet lkn huyu Skrtel katufungisha mechi nyingi mno kama vile Swansea alitufungisha bao zote 3 lkn yy ndiyo anampenda sana!
Agger is best na akibaki EPL atamtia sana aibu BR